Sokoli
Senior Member
- Apr 14, 2017
- 192
- 128
Barikiwa mkuu,nimeelewa sasaUnapochukua hela ya wizi ama ela yoyote ambayo haina maelezo ya umeipataje ama ela yoyote ambayo ni nyingi kupita vyanzo vyako vya mapato na kuiingiza kwenye mzunguuko wa hela mfano kununua viwanja, ama kuziweka fedha bank n.k (hiyo ndio kutakatisha fedha na kiufupi kuifanya ela haramu kuwa halali).....kuhusu walifanyaje kwenye kutakatisha hizo fedha hapo sijui ngoja wajuzi wa mambo waje ila unaweza ukabofya kwenye link hapo chini;
Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Evans Aveva na Makamu wake G.N. Kaburu