Mahakama yatoa hati ya kumkamata Zacharia Hans Poppe, kuunganishwa kesi ya utakatishaji fedha

Akimbie nchi atafia jela huyo
Yuko Rwanda/Burundi kitambo sana
Alikuwa anakujaga Bongo ila kwa style hii sjui kama atatia mguu.....kwanza afya yke yenyewe Syo nzuri muda sana nlimuonaga anatembea kwa gongo tena lile lenye miguu mitatu chini
Sasa lupango atakuweza kweli

Ova
 
Yuko Rwanda/Burundi kitambo sana
Alikuwa anakujaga Bongo ila kwa style hii sjui kama atatia mguu.....kwanza afya yke yenyewe Syo nzuri muda sana nlimuonaga anatembea kwa gongo tena lile lenye miguu mitatu chini
Sasa lupango atakuweza kweli

Ova
Du afadhali yake kwa huu utawala jamaa angemnyonya macho mzimamzima.
 
Duh Yuko fasta basi

Ova
Kwenye akaunti yake kuna laki sita teh teh

yule mhindi wa iptl ana tamaa ya hela sana, sasa hvi usingekuta yupo mahabusu.... Seth ana puto tumboni mda wowote litapasuka
 
Kibri ya Makofia itamgharimu pakubwa. Mahakama si mahala pa kufanyia jeuri. Nchi imebadirika hii.
 
Benki wanajuaje mkuu,au kuna kiasi kikifika account inakuwa pending??
 
Si alikuwa anahonga ili Magufuli (anayepambana na mafisadi)asishinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…