MahakamaccmMahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yanapaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na watawasilisha maombi baadaye kama ikihitajika.
juni 02, mahakama ya kisutu iliahirisha kesi namba 8606/2025 ya uchapishaji wa taarifa za uongo baada ya upande wa jamhuri kuomba mashahidi wasio polisi watoe ushahidi kwa kificho.
Mbowe anatamani lisu afie Gerezani ili apate kurejea chadema kwa njia haramu za kishetaniLissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
Muungano Ufe Tanganyika idai Uhuru wakeKuna siku Abduli atakuwa anasimama mahakamani kujibu tuhuma za uhujumu uchumi wakati huo Bi. wa Kizimkazi akiwa anatazama tu kwenye tv huku akiwa hana la kufanya.
Kwani October kuna nini cha maana zaidi ya ujinga wa mtu mweusi?Lissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
haina shida sababu sie twasema #NoReformsNoElectionsLissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia yaliyotokea Zambia na Senegal yatatokea na TanzaniaUkweli una tabia ya kuchelewa ila uwa unafika tu
Hata Lissu afe kamwe Mbowe hawezi kuiongoza chadema tena labda aisaidie serikali kuifuta chadema kwa fitinaMbowe anatamani lisu afie Gerezani ili apate kurejea chadema kwa njia haramu za kishetani
Amepungua na aachiliwe huru. Jela sio mchezoMahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yanapaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na watawasilisha maombi baadaye kama ikihitajika.
juni 02, mahakama ya kisutu iliahirisha kesi namba 8606/2025 ya uchapishaji wa taarifa za uongo baada ya upande wa jamhuri kuomba mashahidi wasio polisi watoe ushahidi kwa kificho.
Soma, Pia: Mzozo waibuka mahakamani, Lissu akizuiwa kuongea na mawakili wake
Unadhani yeye ana njaa ya Uchaguzi kama Mwamba? 😂Lissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
Mnaoneka a mmeshachanganyikiwa Sasa mnaingiza hata wasiohisikaHata Lissu afe kamwe Mbowe hawezi kuiongoza chadema tena labda aisaidie serikali kuifuta chadema kwa fitina
Mkuu hiyo wazungu wanaita "never ever"Muungano Ufe Tanganyika idai Uhuru wake