omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,703
Kuna mambo yapo kwenye kumbukumbu a nchi hii na lolote linawezekana, ndio maana tunapawa kuwa humble.Kuna siku Abduli atakuwa anasimama mahakamani kujibu tuhuma za uhujumu uchumi wakati huo Bi. wa Kizimkazi akiwa anatazama tu kwenye tv huku akiwa hana la kufanya.
Baada ya Nyerere sikumbuki yeyote kupelekwa mahakamani
Baada ya Mwinyi akina Baghdad, Ngasongwa na Nalaila Kiula walipelekwa mahakamani na kuhukumiwa
Baada ya Mkapa Akina Basil Mramba na Daniel Yona walipelekwa mahakamani na kuhukumiwa
Baada ya Kikwete.......
Baada ya Magufuli......
(mwwenye records nzuri atukumbushe kwa hao wengine)