GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Muungano Ufe Tanganyika idai Uhuru wake
Tanganyika ilishakuwa huru tangu 1961. Wahuni ndiyo wanaotakiwa kuondolewa madarakani haraka iwezekanavyo kabla hawajatuzamisha kwenye bahari ya kina kirefu.
 
Lissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
uko sahihi lakini humu kuna mafala hata awaelewi kua anachokifanya lissu ni ujinga kaingia kwenye kumi na nane za wauni
 
Timu ya Lissu isijikite sana na kupambana na hii kesi kisheria, maana hakuna kesi hapo, mamlaka inajaribu kuwapotezea muda tu ili malengo yao ya uchaguzi yafanikiwe. Ila timu hiyo inabidi iitumie kesi hii kupandisha joto la kisiasa bi mkubwa achafuke kimataifa kwelikweli
Alishajichafua mwenyewe kitambo mbona. Anachojaribu kufanya kwa sasa ni kuhakikisha uchafu ule aliojichafua mwenyewe basi uwe ni wa nchi na sii wake yeye kama yeye. Ili aje aseme Wapinzani wameamua kuichafua nchi yao wenyewe huko kwenye mataifa ya nje. Hili nalo hatofanikiwa kwani tayari habari zake zimeshawafikia wahusika tena kwa usahihi na umakini mkubwa.
 
Kwahiyo tunarudi tena upande wa Jamhuri kuja na ushahidi wa kumaliza kesi?
 
Lissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
lissu actually hajawahi pitia ujinga kama huu

lissu naona thinking yake strategically sio sahihi

hii hasara anayopata ni both kwake na kwa taasisi yake

anatakiwa atumie akili kubwa zaidi kupambana na ccm both asiumizwe au watu wake kuumizwa au taasisi yake na hapo hapo kuhakikisha anawashinda maccm

akili hiyo unfortunately hana

na ubaya wa bad decisions unapata matokeo yake hapo hapo.....these are the ones
 
Unahitaji mafanikio unaogopa sacrifice( usiguswe). Haiwezekani kamwe kupata mafanikio ya kweli zaidi unataka afanye michezo ya kuigiza.
 
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yalipaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. Wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na watawasilisha maombi baadaye kama ikihitajika.

juni 02, mahakama ya kisutu iliahirisha kesi namba 8606/2025 ya uchapishaji wa taarifa za uongo baada ya upande wa jamhuri kuomba mashahidi wasio polisi watoe ushahidi kwa kificho.

Soma, Pia: Mzozo waibuka mahakamani, Lissu akizuiwa kuongea na mawakili wake

Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

Kw a iyo anaendele kunyea ndoo hadi lini tena kurudi mahakamani
 
Back
Top Bottom