GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna siku Abduli atakuwa anasimama mahakamani kujibu tuhuma za uhujumu uchumi wakati huo Bi. wa Kizimkazi akiwa anatazama tu kwenye tv huku akiwa hana la kufanya.
Kuna mambo yapo kwenye kumbukumbu a nchi hii na lolote linawezekana, ndio maana tunapawa kuwa humble.
Baada ya Nyerere sikumbuki yeyote kupelekwa mahakamani
Baada ya Mwinyi akina Baghdad, Ngasongwa na Nalaila Kiula walipelekwa mahakamani na kuhukumiwa
Baada ya Mkapa Akina Basil Mramba na Daniel Yona walipelekwa mahakamani na kuhukumiwa
Baada ya Kikwete.......
Baada ya Magufuli......
(mwwenye records nzuri atukumbushe kwa hao wengine)
 
Mahakamaccm
Polisiccm
Magerezaccm
Lisu kupata haki lazima Taasisi za kimataifa zipaze sauti vinginevyo atafia jela kama Mbowe anavyotaka iwe
nyie keybord worrior hamuwezi paza sauti?
 
Usiishi kwa kukariri.
 
Shetani (Roho Chafu) hutamba hapa ulimwenguni ila huwa si kwa wakati wote.
 
Tulitegemea, script nzima inaandikiwa ikulu, ccm ni mbwa kabisa
 
Mnaoneka a mmeshachanganyikiwa Sasa mnaingiza hata wasiohisika

Nani asiyehusika? Mbowe?. Mbowe anahusika asilimia 100 maana yeye ndio kasababisha yote haya. Ile speech aliyoifanya Lissu Hadi akakamatwa alikuwa anawajibu wale mamluki wa Mbowe walizokuwa wamemwita ni muasi. In the process ya kuwajibu ndio Lissu akasema kama wananiita muasi acha niwe muasi, ndio serikali ikaingilia hapo kwamba Lissu ni mhaini. Mbowe ni snitch Sana.
 
hilo ndiyohalijui huku anajuwa sheria kesi haijaanza bado wanabishana tu

Ingekuwa wewe ungekubali mashahidi wa Siri, wasioonekana?. Kama ushahidi wa kutengenezwa?. Serikali yenu inagangaika Sana mpaka mtu anajiuliza Kuna Nini nyuma ya pazia.
 
nyie keybord worrior hamuwezi paza sauti?

Nchi inaongozwa na mashetani, lazima mkombozi atoker nje. Hata ANC, ZANU na akina Mondlane wa msumbiji walisaidiwa na Tanzania. Watusi wa Rwanda walikombolewa dhidi ya Interehamwe na Waasi wa Kitusi kutoka Uganda. Mobutu aliondolewa kwa msaada wa Kagame wa Rwanda.
 
Lissu atapoteza muda bila sababu. Oktoba itaikuta hii Kesi Bado imo kwenye mapingamizi.
Haina shida, sindio vzr mamako apite kwa % 100?!.
Haijalishi kwamba yeye ni kilaza!
 
Kuna siku Abduli atakuwa anasimama mahakamani kujibu tuhuma za uhujumu uchumi wakati huo Bi. wa Kizimkazi akiwa anatazama tu kwenye tv huku akiwa hana la kufanya.
pamoja na chadema baada ya kupokea pesa za abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…