GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CHADEMA. Kesi yapigwa tena Kalenda hadi Agosti 28

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.

Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.

Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.

Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.

Ndiyo maana tunasema mahakama hizi ziko mfukoni mwa watawala. Upumbavu huu utaendelea milele bila umma kuamua kufanya kitu.
 
Hakuna majaji wala mahakama hapo, ni wahuni waoga waliokalia position wakisubiri maelekezo, ndio maana umaskini uliokithiri hautakwisha, maendeleo yanaanzia kwenye haki
 
Ndiyo maana tunasema mahakama hizi ziko mfukoni mwa watawala. Upumbavu huu utaendelea milele bila umma kuamua kufanya kitu.
Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzo
 
From the archive :

CHADEMA IS PROHIBITED FROM CONDUCTING POLITICAL ACTIVITIES.​

GasperTuesday, June 10, 2025

The Party for Democracy and Development (CHADEMA) has been banned from carrying out any party activities by the High Court of Tanzania, Dar es Salaam Sub-Registry.

The ban stems from case number 8323/2025 filed by former CHADEMA Zanzibar Vice Chairman, Said Issa and two of his colleagues, which was in today's judgment read by Judge Hamidu Mwanga.

The decision was made without CHADEMA having legal representation after its attorney Jebrah Kambole who was lead attorney in the case withdrew before the decision was issued claiming that their arguments wasn't taken into consideration before the initial proceedings took place.

The ruling to prevent CHADEMA from carrying out any political activities is based on applications filed in court by the panel of plaintiffs' attorneys that the suspension be imposed until the main case begins to be heard on June 24, 2025.

The plaintiff apart from Mohammed, are the party's Retired Vice Chairman, Ahmed Rashid Khamis and Ms. Maulida Anna Komu who identify themselves as members of the board of trustees. They have taken this action and requested the Court to order and that there has been an unequal distribution of the party's assets and financial resources between Tanzania Zanzibar and Mainland Tanzania.

They also claim that there is religious and gender discrimination, as well as making comments and statements that are intended to disrupt the union between the two sides of the United Republic of Tanzania, namely Tanganyika and Zanzibar
 
Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzo

Sio hawakutokea, Yule wakili naye aliyejitoa ndio alizingua. Jaji akatumia mwanya huo kutenda aliyotenda.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.

Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.

Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.

Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.

Huyu Jaji si ndio yule kada wa chama?
 
Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzo
Mfano wangetokea kingebadilika kitu.
 
Kwakuwa kesi ya lisu imeshaisha na hakuna kesi hapo zaidi ya kutaka tusione lisu anavyowasilisha jambo lake kwenye komito ,mana yeye atakuwa wa mwisho

wote gugoni penal code/39 uone kama lisu anadondokea kosa la uhaini Kwa Sheria za tz

soon tutampokea mwamba mtaani
 
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.

Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.

Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.

Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.

​

18 August 2025
Dar es Salaam, Tanzania

​

The High Court of Tanzania dismisses CHADEMA board of trustees' appeal application. The main Case now is adjourned to August 28, 2025​

The High Court of Tanzania, Dar es Salaam Registry, has dismissed the application of the Board of Trustees and the Secretary-General of the Party for Democracy and Development (CHADEMA), requesting the court to overturn its decision issued on June 10, 2025 to prevent the Board and the Secretary-General of the party from continuing with political activities using the party's assets.

The decision was issued today, August 18, 2025, by Judge Hamidu Mwanga in a civil case filed by the former Vice Chairman of the Party in Zanzibar, Said Issa Mohammed and his colleagues against the Board of Trustees and the Secretary-General of Chadema regarding the distribution of resources between the Party on the Mainland and the Zanzibar Side.

In issuing the judgment , Judge Mwanga said that the applications of the Board and the Secretary-General of Chadema do not have any valid reasons to cause him to overturn his earlier decision, while noting several arguments that were submitted through the applications, including the claim that the court does not have the authority to issue an order to prohibit political activities, the court listened to one side when issuing the order and that the order has caused the party's assets to lack oversight, while the other of the applicants claiming that the procedure was followed and the respondent was given the opportunity to participate in the decision but they did not want to use it.

After the historic decision by Judge Mwanga, both parties agreed to proceed to the next stage where the Court adjourned the case until August 28, 2025 for a review of the various arguments in dispute and to set the procedure for proceeding with the main case, the basis of which is that Said Issa Mohammed and his colleagues claim that Chadema has been excluding the Zanzibar side in the distribution of resources, especially finances
 
HJukumu Hii chini ya jaji aliyekuwa mjumbe wa tume huru ya uchaguzi ,upumbavu mtupu kuchelewesha shughuli za chama CDM yanamwisho na umekaribia
 
Sio hawakutokea, Yule wakili naye aliyejitoa ndio alizingua. Jaji akatumia mwanya huo kutenda aliyotenda.
Wakili alijitoa baada ya kuona hapewi nafasi ya hoja zake. Kwa taarifa yako tayari ile ni calculated movie hata angeendelea. Mkuu unashindwa kuona hila hiyo toka mwanzo?
 
Mfano wangetokea kingebadilika kitu.
Kesi ilisikilizwa upande mmoja wangetokea na wao wangekuwa na hoja za kama wangeonewa malalamiko yangeanzia hapo kwa sasa waendelee na kesi ya msingi ili wajue mbivu na mbichi na kumbuka kesi hii wameshtakiana wao kwa wao
 
Sio hawakutokea, Yule wakili naye aliyejitoa ndio alizingua. Jaji akatumia mwanya huo kutenda aliyotenda.
Kwa hiyo kumbe mwenye makosa unamjua ila tumeamua kumtwisha lawama asie husika kwenye hili nasema tena Chadema walikosea
 
Wajuzi leten bc dodoso kuhusu hukumu inayoweza kuwakuta CDM katka kesi hii
 
Back
Top Bottom