Ndiyo maana tunasema mahakama hizi ziko mfukoni mwa watawala. Upumbavu huu utaendelea milele bila umma kuamua kufanya kitu.Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.
Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.
Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.
Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.
Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzoNdiyo maana tunasema mahakama hizi ziko mfukoni mwa watawala. Upumbavu huu utaendelea milele bila umma kuamua kufanya kitu.
Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzo
Huyu Jaji si ndio yule kada wa chama?Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.
Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.
Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.
Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.
Mfano wangetokea kingebadilika kitu.Ila kumbuka siku ya hukumu Chadema hawakutokea Mahakamani baada ya hukumu ndio wanaona wameonewa na kuleta mapingamizi? Wasubiri kesi ya msingi ili ijulikane mbivu na mbichi ila kwenye hili Chadema walikosea mwanzo
Hakika...Mwamba kawatumia Wapemba kuuwa chama cha Ukweni 😂😂
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za kisiasa kwa kutumia mali za chama.
Uamuzi huo mdogo umetolewa leo Agosti 18, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga katika kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Said Issa Mohammed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chadema kuhusu mgawanyo wa rasilimali kati ya Chama hicho Bara na Upande wa Zanazibar.
Akitoa uamuzi huo Jaji Mwanga amesema maombi ya Bodi na Katibu Mkuu wa Chadema hayana sababu za msingi za kumfanya atengue uamuzi wake, huku akizibainisha hoja kadhaa ambazo ziliwasilishwa kupitia maombi hayo, ikiwa ni pamoja na madai ya kuwa mahakama haina mamlaka ya kutoa amri ya kuzuia shughuli za kisiasa, mahakama ilisikiliza upande mmoja wakati inatoa amri hiyo na kuwa amri hiyo imesababisha mali za chama kukosa waangalizi, huku upande wa waleta maombi ukidai kuwa utaratibu ulifuatwa na upande wa wajibu maombi ulipewa fursa ya kushiriki kwenye uamuzi huo lakini hawakutaka kuitumia.
Baada ya uamuzi huo kutolewa na Jaji Mwanga, pande zote mbili zimekubaliana kuendelea na hatua inayofuata ambapo Mahakama iliahirisha shauri hilo hadi Agosti 28, 2025 kwa ajili ya mapitio ya hoja mbalimbali zinazobishaniwa na kuweka utaratibu wa kuendelea na shauri la msingi, ambalo msingi wake ni kuwa Said Issa Mohammed na wenzake wanadai kuwa Chadema imekua ikiitenga upande wa Zanzibar katika mgawanyo wa rasilimali hususani fedha.
HJukumu Hii chini ya jaji aliyekuwa mjumbe wa tume huru ya uchaguzi ,upumbavu mtupu kuchelewesha shughuli za chama CDM yanamwisho na umekaribia
18 August 2025
Dar es Salaam, Tanzania
The High Court of Tanzania dismisses CHADEMA board of trustees' appeal application. The main Case now is adjourned to August 28, 2025
The High Court of Tanzania, Dar es Salaam Registry, has dismissed the application of the Board of Trustees and the Secretary-General of the Party for Democracy and Development (CHADEMA), requesting the court to overturn its decision issued on June 10, 2025 to prevent the Board and the Secretary-General of the party from continuing with political activities using the party's assets.
The decision was issued today, August 18, 2025, by Judge Hamidu Mwanga in a civil case filed by the former Vice Chairman of the Party in Zanzibar, Said Issa Mohammed and his colleagues against the Board of Trustees and the Secretary-General of Chadema regarding the distribution of resources between the Party on the Mainland and the Zanzibar Side.
In issuing the judgment , Judge Mwanga said that the applications of the Board and the Secretary-General of Chadema do not have any valid reasons to cause him to overturn his earlier decision, while noting several arguments that were submitted through the applications, including the claim that the court does not have the authority to issue an order to prohibit political activities, the court listened to one side when issuing the order and that the order has caused the party's assets to lack oversight, while the other of the applicants claiming that the procedure was followed and the respondent was given the opportunity to participate in the decision but they did not want to use it.
After the historic decision by Judge Mwanga, both parties agreed to proceed to the next stage where the Court adjourned the case until August 28, 2025 for a review of the various arguments in dispute and to set the procedure for proceeding with the main case, the basis of which is that Said Issa Mohammed and his colleagues claim that Chadema has been excluding the Zanzibar side in the distribution of resources, especially finances
Wakili alijitoa baada ya kuona hapewi nafasi ya hoja zake. Kwa taarifa yako tayari ile ni calculated movie hata angeendelea. Mkuu unashindwa kuona hila hiyo toka mwanzo?Sio hawakutokea, Yule wakili naye aliyejitoa ndio alizingua. Jaji akatumia mwanya huo kutenda aliyotenda.
Kesi ilisikilizwa upande mmoja wangetokea na wao wangekuwa na hoja za kama wangeonewa malalamiko yangeanzia hapo kwa sasa waendelee na kesi ya msingi ili wajue mbivu na mbichi na kumbuka kesi hii wameshtakiana wao kwa waoMfano wangetokea kingebadilika kitu.
Kwa hiyo kumbe mwenye makosa unamjua ila tumeamua kumtwisha lawama asie husika kwenye hili nasema tena Chadema walikoseaSio hawakutokea, Yule wakili naye aliyejitoa ndio alizingua. Jaji akatumia mwanya huo kutenda aliyotenda.
Atakufa yeye cdm itabaki.Mwamba kawatumia Wapemba kuuwa chama cha Ukweni 😂😂