Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Alikuwa anakazana na malikizo mara Dubai, Maldives. Angekaa vizuri na mzee angetoboa mapema asubuhi. Tatizo wanaomzunguka maana ukiangalia na aina ya wosia na siku za mwisho za mzee. Ashakum sio matusi unaweza kusema alimmaliza mzee wa watu
 
Mengi alikuwa anamiliki 25% ya mali zake maana alishagawana kila kitu pamoja na mkewe na watoto wake wawili wakubwa. Mkewe alivyotangulia kufariki akwaachia watoto 25% yao. Kwa hio hapo ili haki itendeke Jack adai 12.5 % ya hisa za marehemu na 12.5% iliyobaki wapewe watoto wakubwa. Maana hao wakubwa wana haki pia ya kuridhi mali za baba yao.
 
Mirathi aliyoisimamia Jack ilikua inasimamia hizo 1/3?
 
Jack apewe hiyo 12.5% lakini watoto wanne wagawane hiyo other 12.5% sawa. Na pia wakati anagawa mali 2015 kwenye kesi na Mercy aliwapa watoto wakubwa. Just nahisi greed is what is driving this case. Abdiel And her sister were given a fair share by their father when he separated from their mother. As for the matrimonial houses ya kinondoni ni halali ya mke. Ya Machame wanaweza kuamua ni nyumba ya familia. Mwezi wa kumi na mbili wote tunajumuika hapo kusheherekea sikukuu. Wanamnyima hadi kuona kaburi la Mume wake na watu wanaona ni sawa kisa wanahisi ni gold digger. Kuna mwanamke hapa angeipata hiyo nafasi angekataa? Au mwanaume angejikuta amependwa na mtu kama Lilian Bettencourt kipindi kile angekataa. Tuwe katika uhalisia. Jackuiline aliokota dodo lililoiva akala. Simlaumu. Also those two kids ni wa yule Mzee so atleast hata hajaiba nje. Mercy na mengi wanajua walivyofanyana mpaka wakaachana. Watoto hata muwe bitter kiasi gani bado Mzee wao alioa kigoli na kuzaa nae ndugu zake.
Mzee wangu yupo kwenye ndoa na Maza ila za chini chini dada zangu wananiambia oh Mzee ana kamchepuko so usimtumie Hela. Niliwauliza tu je ili niingilie kati najuaje kama Maza alimnyima Mzee? Ni vitu ambavyo havinihusu kabisa. Aamue mwenyewe maana unaweza mwuliza akakuuliza je wewe utafanya kazi ambayo mama yako ameshindwa? Wengi wana mjugde Mengi Kwa kumchukia Jackuiline. She played her party wamuache aisee.
Utakuta wanao mjudge jack wana michepuko lukuki, na wanawake wengine na kuzaa nje wamezaa kabisa yani lakini midogo tu kisa mwenzao kapata wanataka awe masikini kama wao.
 
Alikuwa anakazana na malikizo mara Dubai, Maldives. Angekaa vizuri na mzee angetoboa mapema asubuhi. Tatito wanaomzunguka maana ukiangalia na aina ya wosia na siku za mwisho za mzee. Ashakum sio matusi unaweza kusema alimmaliza mzee wa watu
Anapenda maisha ya high class
Afanye kazi mzee alimuanzishia mradi wa kuuza furniture's akashindwa

Ova
 
Yah
Mirathi aliyoisimamia Jack ilikua inasimamia hizo 1/3?
Tayari Kuna mgawanyo ulifanyika 2015 wakati wa kuvunjwa Kwa ndoa ya kwanza. Ni mgawanyo uliofanyika mahakamani so hauwezi kupingwa tena. Alichosalia nacho Mzee ndo alimpa Jack na watoto wake wawili pamoja na shares kwenye mafuta. Hivyo ni vitu new Mzee aliwekeza baada ya kuvunja ndoa na Mercy. Pia nyumba ya Machame ambayo haiwezi kwenda Kwa mke Kwa Mila za kichaga. Inabaki kwa mtoto wa kiume Mzee atakayemchagua. Na Kwa kumuachia mke mdogo maana yake alimchagua mke mdogo. Pia Kuna saa zake za thamani na vidani vingine. Ndivyo kina abdiel anavitaka vyote.
Mzee aliwapa mpaka ndugu zake hao kina Benjamin. Pia waliocontest will walisema Mzee hakua kwenye right state of mind wakati anaiandika je, mtu huyo ndiye aliyeiendesha IPP mpaka anakufa bila kuondolewa madarakani na directors? Huyo huyo ndo aliandika kitabu na kuzindua 2018 na kukaa meza Moja na maraisi. How hao watoto wasipetition mahakama kupewa haki ya kumsimamia baba yao maana wanaona Hali yake ya kiafya sio nzuri na mama mdogo ana mexploit? They had room to wrestle control of their father away from Jackuiline if they could prove she was exploiting his feeble state of mind. All this raise a question on them attacking the wellness of state of mind of that brilliant man.
It also raise a question of how for three years the board of directors could let a person who is not of sound mind call the shorts in meeting. He was the executive chairman to his death.
 
Kuna yule mdada mwingine mjinga mjinga alikuwa na kipindi kwenye TV cha wanawake na Maendeleo au sijui Jukwaa la Wanawake? Anajazaga wenzake ujinga sana sijui haijafika hii aende akampambanie mahakamani?
 
Ni asilimia, Mzee alishagawa wakati anaachana na mkewe mkubwa. Pia hao watoto wakubwa na wenyewe waliopewa asilimia zao.
Basi atakuwa na tamaa za kijinga. Anataka apate mgawo mkubwa kuzidi watoto wakubwa wa Mengi? Dada mpuuzi huyu! Hapo mahakama kuu na ya Rufaa zimecheza kama Messi.
 
Mwengu kauawa na Corona,,ni bahati mbaya huo ugonjwa unamchukua ulikuwa haujajulikana Duniani lakini ulikuwa una sambaa na kuua watu kupitia magonjwa yao sugu bila kujijua
 
Msimulaumu mengi,msidhani hadi mzee anacahana na bi mkubwa ni kwakuoenda.Humu kwenye Doa kunamashetani mengi kweli ,,ndo ni mkaa ndo maana wanaume inabidi uende nje kupata amani ya Roho
 
Unataka kusema Mengi aliruka mpaka na Jokate?
 
Halafu nimeurudia tena wasio uliokataliwa. Kama mahakama imeuona ni feki maana yake Kuna perjury ilifanyika. Perjury ni criminal offence with no expire date. Kwa Nini mahakama haikutefer kesi Kwa dpp ili achunguze madai hayo ya perjury?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…