Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Wachache sana watakuelwa!! Nilishangaa sana kumuona huyu dada anagombania mali za huyu mzee. Alitakiwa awe tayari alishajipata siku nyingi sana. Unakuwa na mtu mwenye Akili, hela na connections za maana bado unakuja kugombania mali kweli.

She is not smart at all!!
 
Surely kuna wanawake wajinga Sana,
Hv kweli K Lyn, kwa muda alioishi, na Mengi, alishindwa hata kuweka akiba saccos, government bonds, au, kuwa na hata apartemwnts zinazoingiza hata 20M kwa, mwezi!
Mali, nyingi umezikuta, kweli unataka ugawane pasu pasu na watoto wa Mengi!?
Kuwa na aibu Please.
 
Huyu DA jaq kwann asitulie, asubiri Reggy na kaka ake wampe fungu lake afu apite hivii? Maana watoto si watakua wanahudumiwa na share ktk mgao wa watoto wa jumla,

Sasa yeye anasumbuka nn? Aache kujichosha bhanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…