Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Dada Hajitambui Wanasheria Wake Wanamla PesaMimi Mengi sina hata undugu nae ila aghalab Islan sitakubali huyo dada achukue hata tooth pick yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada Hajitambui Wanasheria Wake Wanamla PesaMimi Mengi sina hata undugu nae ila aghalab Islan sitakubali huyo dada achukue hata tooth pick yake.
Wachache sana watakuelwa!! Nilishangaa sana kumuona huyu dada anagombania mali za huyu mzee. Alitakiwa awe tayari alishajipata siku nyingi sana. Unakuwa na mtu mwenye Akili, hela na connections za maana bado unakuja kugombania mali kweli.MTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.
Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .
Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.
The same harmonize kwa diamond.
Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.
Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .
Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
100%✊🏿Wachache sana watakuelwa!! Nilishangaa sana kumuona huyu dada anagombania mali za huyu mzee. Alitakiwa awe tayari alishajipata siku nyingi sana. Unakuwa na mtu mwenye Akili, hela na connections za maana bado unakuja kugombania mali kweli.
She is not smart at all!!
Hiiiiiiiiiiiiii,kweli bloangu?Waraka unasema eti watoto wapewe buku yaani hii alfu moja.
Huyu mrundi ntuyabaliwe ni mbinafsi sana.
Na wasiwasi hata na kifo cha tajiri Mengi.
Lengo halikufanikiwaHachoki?
Dah mpaka raraa ree ameweka komenti basi jambo zito hili.Huyu mjane hana aibu kufungua kesi ya namna hii
Kumbe baba yako akiwa doctor unakuwa ni wakishua?Una uhakika jack sio brand???
Una hakika jack hajafanikiwa kwa level yako wewe??
Surely kuna wanawake wajinga Sana,Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi Jacline Tuyabaliwe ametangulia pua baada ya mahakama kutupiliwa mbali rufaa yake .
Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu .
USSR
Sasa unashangaa muhaya kufungua kesi!!Huyu mjane hana aibu kufungua kesi ya namna hii
Huyu Mrs Kagame hajakata tamaa tu?!Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi Jacline Tuyabaliwe ametangulia pua baada ya mahakama kutupiliwa mbali rufaa yake .
Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu .
USSR
CR-RA alimdanganya😫😫😫😫Watu walimshauri akae karibu na watoto wakubwa, aombe kua anapata huduma na ada za watoto, akashupaza shingo sasa ataambulia aibu kubwa, waraka wenyewe umekaa kimchongo sana , mahakama kamwe haiwezi kuuzingatia kabisa
Mnh! Mjane anakaa hivi kweli?! Si ni KIRANGA huyu!!!!Huyu mjane hana aibu kufungua kesi ya namna hii
Sasa dokta ana hela gani na wewe. Hebu nyamaza huko usije kuchekwa na watu.Baba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.
Hebu tupishe; unaleta ujinga humu. Anzisha ya kwako interested wachangie huko badala ya kuchafua threads za watu.angalikuwa muislam na mumewe muislam haya yasingetokea. mke ni mke hata awe mtus. mpare , mnguza madhali ni binadaam anahaki zake. lkn ndio hivyo tena
Alifata nini kwa kibabu kile?Baba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.