Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

MTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.

Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .

Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.



The same harmonize kwa diamond.

Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.


Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .

Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
Wachache sana watakuelwa!! Nilishangaa sana kumuona huyu dada anagombania mali za huyu mzee. Alitakiwa awe tayari alishajipata siku nyingi sana. Unakuwa na mtu mwenye Akili, hela na connections za maana bado unakuja kugombania mali kweli.

She is not smart at all!!
 
Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi Jacline Tuyabaliwe ametangulia pua baada ya mahakama kutupiliwa mbali rufaa yake .

Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu .


USSR
Surely kuna wanawake wajinga Sana,
Hv kweli K Lyn, kwa muda alioishi, na Mengi, alishindwa hata kuweka akiba saccos, government bonds, au, kuwa na hata apartemwnts zinazoingiza hata 20M kwa, mwezi!
Mali, nyingi umezikuta, kweli unataka ugawane pasu pasu na watoto wa Mengi!?
Kuwa na aibu Please.
 
Huyu DA jaq kwann asitulie, asubiri Reggy na kaka ake wampe fungu lake afu apite hivii? Maana watoto si watakua wanahudumiwa na share ktk mgao wa watoto wa jumla,

Sasa yeye anasumbuka nn? Aache kujichosha bhanaa.
 
Back
Top Bottom