Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Kwahiyo hoja yako ni kwamba
- Jack anastahili kupewa zaidi ya 1/3
-Hizo mali ulizotaja Jack ndo anayeweza kuzisimamia,

Kama ndiyo, kwanini?
As a wife she is entitled to half of what mengi owned. The kids will get a share of the other half. All the kids. Our laws apply restrorespic to. Meaning after the fall of the marriage with Mercy and subsequent settlement, what remain to Mengi, Jackuiline as his legal wife could inherit half of it upon demise of his husband.
 
Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?
 
Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?
Kuna wakati unashindwa mahakamani Kwa sababu ya technicalities. Kesi inabidhaniwa sio kwenye msingi halisi Bali makosa ya uwasilishwaji. Ukisoma hizo kesi Kuna kesi juu ya kesi. Vyovyote vile wangekaa kwenye arbitration wakasuluhisha. Kuanika madhaifu ya Mercy na Reginald for all the world to see sio njema.
Pia wanaume tukazane tubadili Sheria ya ndoa. Ilivyo Leo inambeba mwanamke kuliko mwanaume. Tuishughulikie iwe ya usawa na itoe haki Kwa mtafutaji halisi regardless of the gender.
 
Nahisi utakuwa huna unachokijua kuhusu hii scenerio..........wale madogo wamekubalika kabisa bila shaka ........maana watoto wakubwa wa mengi ni wawili tu baada ya yule mmoja kufa......kwa hiyo mali ni nyingi na watagawana vizuri kabisa .....ndio maana hata shule wale madogo wanapelekwa na v8 pale international school of tanganyika........ila yule mama yao anataka ku iba mali ya watoto wote kwa kigezo na yeye amezaa ........kukosa akili mzigo kweli........wakati mengi alishawai kumfungulia kampuni ya furniture inaitwa amorata ila dada yako kala mtaji na bado anataka kuiba tena mali ya familia ........apeleke kwao kibamba huko ............ mpe pole mwambie try again
 
Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?
Kuna wakati unashindwa mahakamani Kwa sababu ya technicalities. Kesi inabidhaniwa sio kwenye msingi halisi Bali makosa ya uwasilishwaji. Ukisoma hizo kesi Kuna kesi juu ya kesi. Vyovyote vile wangekaa kwenye arbitration wakasuluhisha. Kuanika madhaifu ya Mercy na Reginald for all the world to see sio njema.
Pia wanaume tukazane tubadili Sheria ya ndoa. Ilivyo Leo inambeba mwanamke kuliko mwanaume. Tuishughulikie iwe ya usawa na itoe haki Kwa mtafutaji halisi regardless of the gender.
 
Kuna mjumbe ametoa hoja hapo juu kwamba Wanaume tuhakikishe Sheria ya Ndoa inabadirishwa kuendana na wakati...

Mgao wa Mali uangalie nani amechangia nini kwenye Ndoa?

Kuna baadhi ya Wanaume wameoa Mke anafanyakazi na Mume anafanyakazi, lakini pesa ya Mume ndiyo inatumika kwenye maendeleo na Uwekezaji, hela ya Mke haionekani ndani

Hawa watu wakitalikiana, eti mke anapata mgao wa 50/50, this is unfair 🙌
 
Wachaga mnakwama wapi aisee yaaan hii ngedele pori inawasumbua namna hii....Malizaneni nae kimila tu mnapiga chuma kimoja hatariii maana kavuka mipaka mpaka anasema eti hakuna wa kumtetea Mengi isipokua yy 🤣🤣🤣ila malaya ni malaya tu.Hata hao watoto si baraka tena maana wamekuja kua shida kwenye familia.Ajabu huyo malaya kumbe na watoto wa dada yake wakawekwa kwemye kupata maokoto yaan naona alitaka familia yake yote wawekwe kwenye mirathi msikubali malaya aondoke na chenu pigeni mizimu ya kichaga imalizane nae fasta chap.
 
Mengi hakuwa smart guy
 
Watoto wakubwa walinyimwa kabisa na hicho ndicho kilichobatilisha wosia,ingekuwa wamepewa hiyo 1% wosia ungepita.
Haujafuatilia kesi, kilichofanya wosia alio nao Jacky uwe batili ni kukinzana kwa Taaarifa. Wosia unasema makampuni yote ya IPP na Kiwanda cha Bonite apewe Jacky. Lakini Mengi alipoachana na mkewe waligawana kila kitu pamoja na watoto wao wawili. Na mkewe alipotangulia kufariki aliwaaachia mgao wake watoto wake. Madai ya kuwa Mengi ameandaa wosia na kumpa Jacky asilimia 100 ni uongo . Maana yeye mwenyewe anajua anamiliki kiasi gani cha makampuni yake. Hii ndio ilifanya mahakama wajue ukweli kuwa ule wosia haukuandaliwa na marehemu. Jacky kama angetaka kufanikisha hii ishu angekuwa na taarifa sahihi. Kukosa kwake kwa taarifa ndio kumefanya afanye blunder. Waliomshauri wanafeli kwa sababu Mengi alikuwa na hela. Kipindi yupo hai angeomba mtaji wa kufanya biashara ya maana. Kuna wimbi la vimada na watoto wa matajiri wanafanya biashara za kuzugia. Mtu anafungua biashara ili apate sababu ya kuomba hela kwa mume, ndugu au wazazi wenye hela. Haiwezekani ufungue biashara ya kuuza furniture wakati kuna furniture kibao nzuri zinatoka India na china. Mwanamke pekee aliyefaidi matunda ya ushauri mzuri kutoka kwa Mengi ni Rita Paulsen na Jokate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…