Muki1
Member
- Nov 8, 2021
- 58
- 176
Aachane sasa na hayo mapesaBaba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aachane sasa na hayo mapesaBaba yake alikuwa dr. Mkubwa muhimbili kipindi cha nyerere. Kama humjui nyamaza.
Sio aslimia 1%,tsh 1000(buku)Kwa vile alikua mke halali, basi ndio apewe 99% ya mali za mzee Mengi, halafu 1% inayobaki wapewe wale watoto wakubwa wa marehemu kama waraka wake unavyosema!!! Feminist mna shida sana ya ubongo!!!
As a wife she is entitled to half of what mengi owned. The kids will get a share of the other half. All the kids. Our laws apply restrorespic to. Meaning after the fall of the marriage with Mercy and subsequent settlement, what remain to Mengi, Jackuiline as his legal wife could inherit half of it upon demise of his husband.Kwahiyo hoja yako ni kwamba
- Jack anastahili kupewa zaidi ya 1/3
-Hizo mali ulizotaja Jack ndo anayeweza kuzisimamia,
Kama ndiyo, kwanini?
Tena kipindi cha nyerere cha ujamaa! Bora kidogo ma dokta hawa specialist sahizi wanapata kidogo na kupiga part time hapa na paleSasa dokta ana hela gani na wewe. Hebu nyamaza huko usije kuchekwa na watu.
Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?As a wife she is entitled to half of what mengi owned. The kids will get a share of the other half. All the kids. Our laws apply restrorespic to. Meaning after the fall of the marriage with Mercy and subsequent settlement, what remain to Mengi, Jackuiline as his legal wife could inherit half of it upon demise of his husband.
Kuna wakati unashindwa mahakamani Kwa sababu ya technicalities. Kesi inabidhaniwa sio kwenye msingi halisi Bali makosa ya uwasilishwaji. Ukisoma hizo kesi Kuna kesi juu ya kesi. Vyovyote vile wangekaa kwenye arbitration wakasuluhisha. Kuanika madhaifu ya Mercy na Reginald for all the world to see sio njema.Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?
Nahisi utakuwa huna unachokijua kuhusu hii scenerio..........wale madogo wamekubalika kabisa bila shaka ........maana watoto wakubwa wa mengi ni wawili tu baada ya yule mmoja kufa......kwa hiyo mali ni nyingi na watagawana vizuri kabisa .....ndio maana hata shule wale madogo wanapelekwa na v8 pale international school of tanganyika........ila yule mama yao anataka ku iba mali ya watoto wote kwa kigezo na yeye amezaa ........kukosa akili mzigo kweli........wakati mengi alishawai kumfungulia kampuni ya furniture inaitwa amorata ila dada yako kala mtaji na bado anataka kuiba tena mali ya familia ........apeleke kwao kibamba huko ............ mpe pole mwambie try againSwali Moja Kwa watoto wakubwa wa Mengi je wale madogo mapacha ni wadogo zao? Maana watu tusirukie kuangalia tu Jackuiline hiki au kile. Wamechukua kila kitu sawa ila je wale madogo ni ndugu zao? Kama ni Damu ya baba yao Kuna siku itawatafuna lakini kama sio then waendeelee.
Kagame alikuwa anaruka nae huyu Dada?! 😳Huyu Mrs Kagame hajakata tamaa tu?!
Kuna wakati unashindwa mahakamani Kwa sababu ya technicalities. Kesi inabidhaniwa sio kwenye msingi halisi Bali makosa ya uwasilishwaji. Ukisoma hizo kesi Kuna kesi juu ya kesi. Vyovyote vile wangekaa kwenye arbitration wakasuluhisha. Kuanika madhaifu ya Mercy na Reginald for all the world to see sio njema.Sasa hilo mahakamani hawaelewi hiyo miongozo au wameamua kumwonea?
Unacho mkuu?!Umewahi kusoma kitabu kinautwa the gold diggers?
Unaweza kunisaidia nikakipata mkuu?!... tafadhaliNilikisoma nadhani kati ya 2020 au 2021 hapo
Unamjua Alberto Msando?!Wapi wakili msomi Petro Kibatala?
Mengi hakuwa smart guyMTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.
Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .
Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.
The same harmonize kwa diamond.
Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.
Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .
Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
Mengi hakuwa smart guy
Hii ndo ilikuwa application for review aliyokuwa anaomba na mahakama imempiga chini.Ata omba review bila shaka last bite yake iyo akiliwa ndo imeisha iyo milelee na review court of appeal kutoboa sio mchezo
Ndugu yangu hakutoka katika umasikini maana Kaka yake Elitira alikuwa Don kitambo.You can't be rich and well of if ur not smart
Mengi hajarithi hizo mali the late Mengi , he came from poor family
Ndugu yangu hakutoka katika umasikini maana Kaka yake Elitira alikuwa Don kitambo.
Haujafuatilia kesi, kilichofanya wosia alio nao Jacky uwe batili ni kukinzana kwa Taaarifa. Wosia unasema makampuni yote ya IPP na Kiwanda cha Bonite apewe Jacky. Lakini Mengi alipoachana na mkewe waligawana kila kitu pamoja na watoto wao wawili. Na mkewe alipotangulia kufariki aliwaaachia mgao wake watoto wake. Madai ya kuwa Mengi ameandaa wosia na kumpa Jacky asilimia 100 ni uongo . Maana yeye mwenyewe anajua anamiliki kiasi gani cha makampuni yake. Hii ndio ilifanya mahakama wajue ukweli kuwa ule wosia haukuandaliwa na marehemu. Jacky kama angetaka kufanikisha hii ishu angekuwa na taarifa sahihi. Kukosa kwake kwa taarifa ndio kumefanya afanye blunder. Waliomshauri wanafeli kwa sababu Mengi alikuwa na hela. Kipindi yupo hai angeomba mtaji wa kufanya biashara ya maana. Kuna wimbi la vimada na watoto wa matajiri wanafanya biashara za kuzugia. Mtu anafungua biashara ili apate sababu ya kuomba hela kwa mume, ndugu au wazazi wenye hela. Haiwezekani ufungue biashara ya kuuza furniture wakati kuna furniture kibao nzuri zinatoka India na china. Mwanamke pekee aliyefaidi matunda ya ushauri mzuri kutoka kwa Mengi ni Rita Paulsen na Jokate.Watoto wakubwa walinyimwa kabisa na hicho ndicho kilichobatilisha wosia,ingekuwa wamepewa hiyo 1% wosia ungepita.