Kumbe na Jockate kanyonya Koni ya mzee.Haya maisha jamaniHaujafuatilia kesi, kilichofanya wosia alio nao Jacky uwe batili ni kukinzana kwa Taaarifa. Wosia unasema makampuni yote ya IPP na Kiwanda cha Bonite apewe Jacky. Lakini Mengi alipoachana na mkewe waligawana kila kitu pamoja na watoto wao wawili. Na mkewe alipotangulia kufariki aliwaaachia mgao wake watoto wake. Madai ya kuwa Mengi ameandaa wosia na kumpa Jacky asilimia 100 ni uongo . Maana yeye mwenyewe anajua anamiliki kiasi gani cha makampuni yake. Hii ndio ilifanya mahakama wajue ukweli kuwa ule wosia haukuandaliwa na marehemu. Jacky kama angetaka kufanikisha hii ishu angekuwa na taarifa sahihi. Kukosa kwake kwa taarifa ndio kumefanya afanye blunder. Waliomshauri wanafeli kwa sababu Mengi alikuwa na hela. Kipindi yupo hai angeomba mtaji wa kufanya biashara ya maana. Kuna wimbi la vimada na watoto wa matajiri wanafanya biashara za kuzugia. Mtu anafungua biashara ili apate sababu ya kuomba hela kwa mume, ndugu au wazazi wenye hela. Haiwezekani ufungue biashara ya kuuza furniture wakati kuna furniture kibao nzuri zinatoka India na china. Mwanamke pekee aliyefaidi matunda ya ushauri mzuri kutoka kwa Mengi ni Rita Paulsen na Jokate.