Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

Haujafuatilia kesi, kilichofanya wosia alio nao Jacky uwe batili ni kukinzana kwa Taaarifa. Wosia unasema makampuni yote ya IPP na Kiwanda cha Bonite apewe Jacky. Lakini Mengi alipoachana na mkewe waligawana kila kitu pamoja na watoto wao wawili. Na mkewe alipotangulia kufariki aliwaaachia mgao wake watoto wake. Madai ya kuwa Mengi ameandaa wosia na kumpa Jacky asilimia 100 ni uongo . Maana yeye mwenyewe anajua anamiliki kiasi gani cha makampuni yake. Hii ndio ilifanya mahakama wajue ukweli kuwa ule wosia haukuandaliwa na marehemu. Jacky kama angetaka kufanikisha hii ishu angekuwa na taarifa sahihi. Kukosa kwake kwa taarifa ndio kumefanya afanye blunder. Waliomshauri wanafeli kwa sababu Mengi alikuwa na hela. Kipindi yupo hai angeomba mtaji wa kufanya biashara ya maana. Kuna wimbi la vimada na watoto wa matajiri wanafanya biashara za kuzugia. Mtu anafungua biashara ili apate sababu ya kuomba hela kwa mume, ndugu au wazazi wenye hela. Haiwezekani ufungue biashara ya kuuza furniture wakati kuna furniture kibao nzuri zinatoka India na china. Mwanamke pekee aliyefaidi matunda ya ushauri mzuri kutoka kwa Mengi ni Rita Paulsen na Jokate.
Kumbe na Jockate kanyonya Koni ya mzee.Haya maisha jamani
 
Wosia uliwekwa humu na wengi tuliuona na wosio haupo kama hivyo unavyodai wewe.
Ni kweli Mzee Mengi alipotalikiana na mkewe waligawana hisa na hisa nyingine waliwapa watoto wao wawili ma Mzee Mengi alibaki na hisa zake 40% ambazo ndiyo baadaye kwa mujibu wa wosia uliowasilishwa na Jac ndiyo aliagiza pamoja na biashara nyingine alizokuja kuzianzisha baadaye zote warithishwe mkewe na watoro wake wadogo aliozaa na Jac na wale wengine aliwanyima urithi na hilo lilionekana limeenda kinyume na utaratibu wa wosia kuwabagua warithi wako wanaostahili kukurithi bila kujali kama wao wana uwezo kiasi gani kikubwa watoto wote wa Mzee Mengi walistahili kumrithi baba yao.
Na hata yeye Jac mwenyewe katika kutetea huo aliouita wosia wa Marehemu Mengi katika mahojiano mbalimbali alidai eti Mzee alifanya vile kwa sababu aliona wale watoto wake wakubwa tayari wanahisa walizopewa na pia wamerithi zile hisa za mama yao hivyo eti akaona hicho alichobaki nacho yeye(Mzee Mengi) awarithishe mkewe na watoto wao wadogo.
Hata ukiingia youtube mahojiano ya Jac yapo huko na kueleza kila kitu na siyo kweli eti Mzee Mengi alitoa Wosia kwamba IPP na Bonite vyote apewe Jac.
Anachopigania Jac ni zile hisa 40% na hayo makampuni mengine yaliyoanzishwa baadaye baada ya kugawana na mkewe lakini ndiyo hivyo mchongo umekosewa na Bibie ndiyo amepagawa japo kuna percent atapata kama mke lakini ni kama anaona itakuwa ndogo.
 
You can't be rich and well of if ur not smart

Mengi hajarithi hizo mali the late Mengi , he came from poor family
Mengi ni miongoni new cpa za mwanzo tz,wakaaminiwa kwenye bank zetu,uliza alichoifanya NBC,pia alipewa majumba na serikali hapo mnazi mmoja,baada ya kumlalamikia mwinyi majumba anawapa magabachori,mwishi wa siku akawauzia magabachori
 
Bila waislam wote kumkubali kipenzi chetu cha dhati Imam Hussein Ibn Ali A.S na mafundisho adhim ya kishia kamwe Palestine haitakuwa huru. NARUDIA KWA MSISITIZO KAMWE PALESTINE HAITAKUWA HURU.

Leo tunajivunia kupewa Tawfeek/Tawfiq (the ability and opportunity to succeed) kwasababu ya Imam wetu alikufa na kukana nafsi kwa kuupigania, kuutetea na kuulinda Uislam ndo maana tuna uhakika wa Jannah na Firdaus.

Allah azidi kumpa kheri za duniani na Firdaus, amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S.
View attachment 3066179
Wewe Mgerasi una penda nongwa sana ona sasa ushakula ban
Sijui ya wiki au Mwaka mzima!
😂😂
 
Mengi ni miongoni new cpa za mwanzo tz,wakaaminiwa kwenye bank zetu,uliza alichoifanya NBC,pia alipewa majumba na serikali hapo mnazi mmoja,baada ya kumlalamikia mwinyi majumba anawapa magabachori,mwishi wa siku akawauzia magabachori

Acha kuwa negative about someone's else success

Kupata na kumiliki ulichonacho sio jambo jepesi
 
Wote mnao muatack jack fikirieni na upande wa pili, alijitoa ujana wake kwenda kukilea kibabu, ambapo kwa cv yake angeweza ku date na vijana wenzake na kula maisha.
Wakulaumiwa ni babu machche mwenyewe kudandia vidada badala ya kutulia na kibibi chake.

Kwamba alifanya msaada kwa Mengi & Family? Alilazimishwa?

Hao “vijana wenzake tangu msiba mpaka leo wako wapi?

Chochote kinachomkuta sasa ni matokeo ya mipango yake, akubaliane na hali asonge mbele.
 
As a wife she is entitled to half of what mengi owned. The kids will get a share of the other half. All the kids. Our laws apply restrorespic to. Meaning after the fall of the marriage with Mercy and subsequent settlement, what remain to Mengi, Jackuiline as his legal wife could inherit half of it upon demise of his husband.
Hivi ni sababu gani ya msingi iliyowafanya wakaenda kufungia Ndoa nje ya nchi? (Jack & Mengi)

Na maamuzi ya Mahakama yalikua ni yapi specifically wakati wa denouement ya Ndoa ya Mercy & Mengi? Unayafahamu vizuri?
 
Nae anataka kuwa kama mtikila (R.i.p) Kila siku mahakamani angeishi vizuri na hiyo familia tena akiwa na dam Yao mbona angeishi poa though hata Sasa anaishi poa shida yake anataka awe super woman atambie wenzake as powerful woman in tz
Kuwa kama Mtikila na kuhudhuria Mahakamani kila siku siyo tatizo endapo kama kweli mwanamke huyo amedhulumiwa haki yake. Kudai haki yako siyo tatizo hata kidogo endapo kama kweli umedhulumiwa hakie hiyo unayoidai.
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba Mwanamke huyo (Jackline Ntuyabaliwe) hana akili nzuri kichwani mwake, pia amejawa na tamaa ya mali iliyopitiliza. Endapo kama angekuwa na akili nzuri sawa sawa, Basi hizi vurugu zote hizo zisingeweza kutokea.
 
Masikini analadhimisha watoto wa watu waishi kama popo ili yeye aponde raha na madanga yake...........asante mahakama kwa kutenda haki...................hii mijitu ni ya kuogopwa sana
Hata mie naipongeza mahakama. Huwezi kama na mtu miaka michache tu kwa tamaa zako za maisha ulete janja janja
 
Wote mnao muatack jack fikirieni na upande wa pili, alijitoa ujana wake kwenda kukilea kibabu, ambapo kwa cv yake angeweza ku date na vijana wenzake na kula maisha.
Wakulaumiwa ni babu machche mwenyewe kudandia vidada badala ya kutulia na kibibi chake.
Si tayari alikuwa analipwa kwa kazi hiyo?
 
The marriage was dissolved not denounced. Also the women died fist means Mengi could enter into a legal marriage after her death. That is why he was able to bless his marriage as per Lutheran rites.
As for the final judgement regarding their matrimonial properties between Mercy and Reginald, she was accorded 35% of everything that Mengi owned to that time 2014.
When Mengi died his will stated that I bequeathed all my shares In....went on to mention his shares in various companies. Some of the properties were bequeathed to his two minor kids and not Jack. He went on to appoint executors on behalf of the kids who is neither their mother but the Uncle Benjamin, Zoe somebody Mushi and another person. All whom to my knowledge are employee of his company and another his brother.
People are starting that she was given everything in it's entirely is a false narrative. The truth is she with her two sons were given only what Mengi owned to that point.
As to the place of taking the vow one can choose a location depending on whether you can afford or not. I believe the law recognize such international marriage and in the certificate there are clause to indicate which law to follow Incase of divorce or death. They have never disputed her being a legal wife nor have they disputed the fact that those two brothers are his children.
Tena Tanzania tuna bahati hatuna polygamy kama Kenya. Yani siku ya mazishi unashangaa mtu anakuja na kujitambulisha Mimi ni mke wa fulani na watoto Hawa ni wake. Naomba mahakama initambue. Cases have been dragging in court for over 20 years. Everyone contesting wanting a slice of the deceased estate.
 
MTU ukipata bahati ya kuwa karibu a smart guy Kama Dr Mengi unbidi kuvuna na kuchota AKILI yake na sio MALI na FEDHA pekee.

Unfortunately watu huwa hawajui hii siri .

Nandi alipata bahati ya kutembea na Ruge mtahaba na Ruge alichofanya alimpa njia za kuishi mjini na kufanikiwa.

The same harmonize kwa diamond.

Hivyo watu wengine hasa wanawake ukipata bahati ya kuwa na kibopa mchote AKILI na maarifa ili hata mkiachana usiterereke kiuchumi.

Just imagine MTU Kama Jack amekaa na Mengi muda wote Ila ameshindwa kujitengeneza kuwa brand na kufanikiwa .

Pasipo hata kupewa urithi kitendo cha kuwa karibu na mengi alibidi kuwa ameshajipata tangu zamani.
Nimepata kitu hapa.
 
Alitakiwa kuishi vizuri na watoto wakubwa aache tamaa mali atafute zake za halili ,aliolewa na mzee Kwa target tu ya mali,ukiwa mzee Bora ukatafuta mzee mwenzio ambaye kaacha kuzaa mmalizie naye maisha ya uzeeni Ili kesho na kesho kutwa ukiondoka duniani mambo yasiwe mengi .
 
Back
Top Bottom