Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,560
- 33,764
Wakati ukawa wanasusia ile katiba ya chenge,,niliwaonya sana kuwa hiyo nafasi watajutia sana kuipoteza,,na kilichowafanya wasusie kikubwa ni swala la serikali ziwe tatu au mbili,,wakashindwa kukubaliana,wakati sehemu zingine walikuwa wamekubaluana vizuri sanaSasa hivi wananena kwa kugha mkuu! View attachment 1919390