Wakati ukawa wanasusia ile katiba ya chenge,,niliwaonya sana kuwa hiyo nafasi watajutia sana kuipoteza,,na kilichowafanya wasusie kikubwa ni swala la serikali ziwe tatu au mbili,,wakashindwa kukubaliana,wakati sehemu zingine walikuwa wamekubaluana vizuri sanaSasa hivi wananena kwa kugha mkuu! View attachment 1919390
we hizi mahakama zipo huru?Mahakama ikimuachia Mdude inakuwa sawa, ikifanya vinginevyo inakuwa tawi la CCM? Hizi ni akili duni sana aisee
Unapaswa kumhurumia dikteta, mwizi, jambazi Magufuli kwa mateso anayopata huko jehanam! Hapa duniani alikwisha sahaulika na kamwe hatakumbukwa!laana ya kusherekea kifo cha Magufuli acha iendelee kuwatafuna taratibu mpaka mtamani afufuke ...
Ndio maana watu wengi wanaona haya madai yao ya katiba ni madai ya kurahisisha njia za kwenda ikuluWakati ukawa wanasusia ile katiba ya chenge,,niliwaonya sana kuwa hiyo nafasi watajutia sana kuipoteza,,na kilichowafanya wasusie kikubwa ni swala la serikali ziwe tatu au mbili,,wakashindwa kukubaliana,wakati sehemu zingine walikuwa wamekubaluana vizuri sana
Mazingira yapi?Unadhani hatujui tofauti na mazingira ya hizo kesi mbili?
unao ushahidi wa hayo unayoyasema au unafuata hisia zako ?Unapaswa kumhurumia dikteta, mwizi, jambazi Magufuli kwa mateso anayopata huko jehanam! Hapa duniani alikwisha sahaulika na kamwe hatakumbukwa!
Xtra mile ni muhimu saana kwakoUpuuzi mwingi sana watu na suti zao wanapoteza muda kujadili issue za huyu DJ anaependa mwenyewe kukaa jela
Ataoza kama baba yako litavyooza likifa keshoukiona hivyo Mbowe ataozea gerezani.
We expected this,what else can they do!this stupid authoritarian regime!Mahakama Kuu Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa Leo Septemba Mosi, 2021 imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa upande wa utetezi, juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza kesi ya Ugaidi.
Usikilizwaji wa kesi hiyo unaendelea.
Mazingira yapi?
Hebu yataje na kuyachambua hapa!
Uhuru wake unakoma pale CHADEMA wanaposhindwa kesi zao? Mbona wakishinda kesi mnageuka na kuzisifia? Au unadhani mahakama zinakuwa CHADEMA wakishinda kesi tu!?we hizi mahakama zipo huru?
Zipo huru? zingekuwa huru polisi wangekuwa wanazichezea hivyo?Uhuru wake unakoma pale CHADEMA wanaposhindwa kesi zao? Mbona wakishinda kesi mnageuka na kuzisifia? Au unadhani mahakama zinakuwa CHADEMA wakishinda kesi tu!?
Mmejaa kibri ,Kama vile oxygen ya watanzania mnatoa nyie, subili ipo SIKU icho kibri kitakoma sio mdaHuyu gaidi atarushwa danadana hivi hivi mpaka atimize miaka kumi jela ndio tutamuachia kama wa uamsho.
ukiona hivyo Mbowe ataozea gerezani.
Mahaba yenu ya kushabikia mambo ya kijinga yameanza kusababisha baadhi ya nchi kutuona sisi hamnazo, wanafunga balozi zao. Binafsi sijawahi kuchukua kadi ya chama chochote but kwa trend tulionayo nitafurahi sana Mungu akiondoa ccm madarakani, ccm ikiondoka madarakani, hakika ITAKUFA kama vilivyo vyama vingine vya ukombozi Africa, ccm imedumaza sana akili za Watanzania, imedumaza akili za Wasomi, imedumaza uwezo binafsi wa kufikiri wa Watanzania bila kujali elimu zao, Watanzanai wengi wanaona bora ccm iwe salama hata kama nchi inaangamia. Yaani wewe uliyea andika hapa, ukifungua moyo wako kule ndani ambako unapajua wewe mwenyewe, Mungu na shetani yaani huyaamini ulioandika, lakini kwasababu ya ccm then inabidi tu uwe mnafiki tu kwa kuandika au kusema kitu ambacho mwenyewe hukiamini.Ulikuwa upuuzi mtupu.
ujuwaji mwingiiii!!
mnawachosha mabalozi wa watu bureee mwisho wapate korona!!!
Mbowe anavuna alicho kipanda.
eti anachagua Mahakama ya kusikiliza kesi yake!!
mwishowe atachagua na gereza la kutumikia kifungo chake!!
AmenDon't lose hope Freeman. You are boarding an excellent bus to freedom as other freedom fighters have done. Justice will be done. It is a matter of time. You have lost today but will win tomorrow which is certain to come. We are on our kneels begging God to protect you.