Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Yaani anakopa pesa nyingi hivyo kwa kutumia collateral za kampuni na still zikiingia anahamishia akaunti yake binafsi anazilaPia inashangaza inakuwaje anakop pesa zote hizo? Basi collateral ni mali za mumewe au akafoji kwa mali za mume.
Sio kukopa walao afanyie biashara za kampuni ya Delina,NO!
Dada ana moyo wa serious JAMBAZI kabisa
Mimi binafsi mwanaume na bandidu ila siwezi fanya hivyo kabisa