Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Yaani anakopa pesa nyingi hivyo kwa kutumia collateral za kampuni na still zikiingia anahamishia akaunti yake binafsi anazilaPia inashangaza inakuwaje anakop pesa zote hizo? Basi collateral ni mali za mumewe au akafoji kwa mali za mume.
Umesoma hukumu?Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Alikuwa mke na mfanyakazi sasa amemwibia boss wake ambae pia ni mumewe, kilichoendelea baada ya wizi hadi ndoa kuvunjika ndo hakijawekwa waziThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Mitimingi limemfaudu sana huyu dada!Huyo dada kakopa millioni 500,000,000 benki na bado akahamisha dollar 1.4 millioni kutoka akaunti ya kampuni. Bila kusahau wakati anaondoka nyumbani alipotea na dollar 750,000,000. Mbona pesa nyingi hivyo?. Ingekuwa mwingine angeondoka kimya kimya.
Wivu utakuuwa kijanaHapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Safi sana.Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Wewe ni mkewe D Mosha?Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Nani.Yule Mchezaji wa Mpira anaitwa nani vile?
Kabisa , hawa viumbe ni pasua kichwa mno..... Zamani nilikuwa nachukia talaka , ila siku hizi nazifurahia balaaa maninaaaUkiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Hahaaaaa hata kwenye Biblia imeandikwa, tutawasamehe wake zetu na ndoa kutovunjika ILa kwa uzinzi tu. Kama ukimfumania, Mungu karuhusu on the spot kuachana naye.Ndoa zina mengi sana. Imagine mkeo ana kiserengeti boy kinamgeuza. Utaweza vumilia kweli ?
Mandela alieweza wasamehe makaburu waliomfunga jela miaka 40. Ila alishindwa msamehe mke wake winnie mandela
Huyu mama sio mchaga ni mtu wa mbeya ...vipi unalingine na kusemaHiyo nzuri.
Hawa upande wa pili wakiziona mali wanaanza kutamani talaka ili wapewe chao mapema.
Huyo mwanamke ni wewe, umenyooshwa.
Mkewe sio mchagaHapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Hahaaaaa, acha kututisha wewe japo nimecheka sana hilo Jina la Jumanne Mwakitobe. Sisi wanyaki hakuna mtu anayeitwa Jumanne Mwakitobe.Jeff benzon , Bill Gate, aliko dangote, Sir isack Newton, Yesu, Elon mask wote hao wamekaa mbali kabisa na mambo ya ndoa.
Ila wewe jumanne mwakitobe wa huko Namtumbo , unaeshindia mihogo na kachumbari , unakaza fuvu na kufunga ndoa[emoji12]
mnakurupuka kuchangia bila kusoma hiyo hukumu between the lines, kwanza demu ndio aliandika kuwa anataka kusepa na kwamba amechoka, pili kwakuwa alikuwa analiwa na mganga wa kienyeji akaona huyo ndio wa maana zaidi kuliko mumewe baada ya kuona kachemka akataka kurudisha majeshi kumbe too late, kimsingi hizi ndoa za wenye hela kuna matatizo makubwa sana, na kwakweli sijui wanawake huwa wanatakaga nini mpaka sasa sijawaelewa kabisaaaa.