Nimeona huu mjadala wa Kesi ya Davis Mosha na Mke wake lakini naweza Nami changia kwa kifupi:-Ni Hivi Huyo mwanamke Nancy alipogundua moja Pesa nyingii alizoiba Kwenye kampuni alikuwa anagawia Waumme zake hasa Mtabibu Mitimingi ili ajengee Gorofa na mbaya zaidi alimuajili Huyo Mpenzi wake Kwenye moja ya Taasisi ya Davis pale Mbezi Afrikana, Hiyo mwanamke alimfanya Mtabibu Huyo kuwa controller wa kila kitu bila kampuni kujua, masuala ya Supermarket NK Lakini pia kuanza kuzicontrol kampuni kiganga, Huku Mkurugenzi akiwa nje ya nchi au popote kusaka fursa za kampuni na kampuni mpya.
Lakini Mbaya zaidi Huyo mwanamke alitaka kuua Mtoto wa Mkurugenzi kimya kimya kwa kumtumia mfanyakazi wa ndani huko arusha akisaidiana na Dada mmoja ambaye Kesi yake iliiendeshwa Nairobi Kenya na kufungwa, Sasa Nancy Baada ya kushtukiwa meseji zile Baada ya Mfanyakazi wa nyumbani huko Arusha kukosea meseji badala ya kumtumia Nancy kuwa Zoezi la kumuua Mtoto litafanyika Usiku akamtumia Mama wa Mtoto.
Ile Meseji ya mauaji ilipokosea njia Nancy akaamua kukimbia kwake kwa Aibu ya Watoto wake na kutamba Mitandaoni kuwa amenunua Apartment Masaki hababaishwi.
Baadaye watu wakamshika masikio, Kesi Kesi Mara Kesi kaamua kwa Hiari yake afute Kesi alipogundua mabilioni ya Mafuta ya kampuni aliyoiba PUMA, CARMEL NK,
Sasa Leo Tena Naona andiko hili kuwa amezulumiwa kwa Hiyo mwanamke akiolewa na mtu Mwenye Pesa Basi mme wake pesa ikizidi anakimbia Halafu anadai Mali kweli?
Basi Matajiri wako mbioni kutooa kama Dangote, Kumbe wanawake Ni staili, Kama Ya Hakimi aiseee.
Pia nimeshangaa Nancy kuweka ili andishi Huku la hukumu Wakati aliitoa Kesi mwenyewe inasikitisha sana, Naona anguko la wanawake kuolewa na Matajiri kabisa,