Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Mwendazake Jiwe kabla ya mauti kumkuta alitoa AMRI hukumu zote ziwe kwa lugha ya kiswahili, inakua kuaje hawa bado wanatumia lugha ya MALKIA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto 4 kila mmoja na mama ake
Zinaenda mutandis mutatis 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆Kwenye talaka kuna mirathi,? Au talaka na mirathi zinakwenda mutatis mutandis?
Sasa si ndio zinamkanyaga mpk mamaako nwenye hela nyau we.Huna hela,una korodani tu
Licha ya kulipwa alikuwa ni mke, kulipwa ni haki yake kupata huduma kama mke pia alikuwa anapata ..Kwani si alikuwa analipwa mshahara? Au alikuwa mwanahisa wa hizo kampuni?
Duuuh inaonekana unamjua Nancy kuliko Nancy anavyojijua aisee.Hata nikifunguka haitasaidia chochote hapa maana mmeshaamua kuwa vichwa ngumu.
Kwa facts zipi?? Ameulizwa maswali kashindwa kujibu huko mahakama ya rufaa ataenda kujibu nini? Na hata akijibu ataulizwa kwanini haya alishindwa kuyajibu mahakama kuu??Na Kweli hiyu mwanamme nae akiamua kuwafinyia majaji rufani fungu ndefu mosha lazma adondoshe
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa mawazo yako, nini kilimstahili kama alifanya jaribio la Kumuua Mumewe??.This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Sasa kashaiba zaidi ya 5B unataka apewe nini tena?? Ebu acheni unafki basiUlishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?
Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.
Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...
Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
Mmh!Kwa mawazo yako, nini kilimstahili kama alifanya jaribio la Kumuua Mumewe??.
Kwa Sheria za Tanzania, Mwanamke ukiishi naye miezi sita tu ni Mkeo .
Wewe ulivyopigwa Chini na The Bold, mlokaa miaka zaidi ya 5..
Kuna Mali amekugawia???.
😂😂😂Sawa kaiba ila alikuwa na ngao ya kuwa kama mke ndio tatizo ,kama ingekuwa mtu baki sio rahisi uchote zote hizo .Sasa kashaiba zaidi ya 5B unataka apewe nini tena?? Ebu acheni unafki basi
Ebu jiweke wewe kwenye position ya Mosha alafu useme ungefanyaje. Mke kaiba 5B, Mke anachepuka na bado akataka kukuua isitoshe akakimbia tena nyumbani na pesa nyingi na akaacha ujumbe kila mtu aishi kivyake. How would you have mercy on that??
Ni maajabu tumekusomesha kwa kodi zetu shule za Kingereza and still upo hapa unalalamikia Kingereza?Mwendazake Jiwe kabla ya mauti kumkuta alitoa AMRI hukumu zote ziwe kwa lugha ya kiswahili, inakua kuaje hawa bado wanatumia lugha ya MALKIA?
Hatari