DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbe huyu ndio Nancy mwenyewe? Dada mafia sana aisee
 
Mtu ahukumiwi kwa kesi ambayo haipo mahamakani. Hakimu hawezi kumnyima mgao mtalaka ati kwa sababu ameridhika kuwa alijaribu kumuua mume wake wakati hilo sio shtaka lililopo mbele yake. Hauwezi kumfunga mtu aliyeshitakiwa kwa wizi kwa sababu aliyedai kuwa aliibiwa amesema kuwa jamaa anatembea na mke wake!

Kushindwa mahakama ya wilaya sio mwisho wa safari. Hizo mahakama ndio zilizomhukumu kifo mbwa immigration. Hao ndio waliomfunga Sugu. Ndio maana kuna kukata rufaa mpaka Mahakama ya rufaa. Safari bado ni ndefu.

Amandla...
 
Kama si Mwisho aendelee Mbele,hakuna alihemzuia kukata Rufaa, Shida Ni kuwa bado ataangukia pua kwa Ushahidi uliopo, Nakumbuka Siku ya mashahidi walifika mahakamani Mashahidi zaidi ya 20 hapo ndo Nancy akalia na kuanza kuwatumia Mashahidi Meseji kuwa wamhurumie ana watoto, Mara waachane na huo Ushahidi kwanza Yuko Tiyari kuachana na kesi.
Anajua Kuna Mashahidi walifanya naye Biashara za kutapeli na Ushahidi upo, Nancy alilia Wewe, amekutuma vibaya Mwambie aende juu, kwa Nini aje kusaka huruma humu Huyo malaya.
 
Zote hizo ni hearsay. Inaelekea una usongo na huyo Nancy hivyo unadhani mtu yeyote anaesema kuwa hukumu haina mashiko ni mtu aliyetumwa nae. Mimi simjui lakini kwa hicho mnachosema ni ushahidi hamna kesi hapa.

Amandla...
 
We nadhani hauko kwenye ndoa...usingeuliza hilo swali
 
Le Mutuz angekuwa hai tungepata Stori kinaga ubaga🤣🤣
Ila nachokiona mwanaume anajaribu kukazia mambo ya uzinzi na ushirikina ili amnyime mke mgao....Kama uzinzi Davis nae kazini sana nje na mtoto wa nje amezaa....
Pia ukiangalia Kwa ndani zaidi mwanaume bado anampenda mkewe, Ila mke kashikwa masikio.
 
amekuwa much know, thinking she can control the man on her will. she thought she is bigger than him.
 
kiingereza cha kisheria sio grammatical imekaa vizuri inaeleweka angalia content za hukumu isome vizuri yote haina upendeleo:
 
Wachangiaji wengi hawajasoma hiyo hukumu, labda kiingereza ndio tatizo, hata Nifah inawezekana hajaisoma..

Ndio maana anamtetea huyo mwanamke mchepukaji, mshirikina, muuaji na mwizi!
Wengi kuna kitu hamjaelewa, wengine wote sijawapa maelezo haya ila wewe ndugu yangu ngoja nikwambie…

Wakati hii post imewekwa, muda ambao sisi wa mwanzo tunachangia hakukuwa na maelezo hayo ya ziada. Maelezo hayo yaliwekwa baadae.
 
amekuwa much know, thinking she can control the man on her will. she thought she is bigger than him.
Ndio shida ya binadamu yeyote ukimuonyesha upendo kupitiliza anakuchukulia poa, anajiona special akidhani huwezi kuishi bila yeye.

Mosha alimpenda sana huyu dada, you can see he fought all odds kumuoa yeye (Chasaka), ukute familia nzima ilipinga Ila akamlinda mkewe, sasa hivi mke anashinda mitandaoni kumdhalilisha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…