Sasa hafai kwa lipi Yaani Jaji ulitaka apendelee kisa Ni maanamke, wanawake tunajidhalilisha Sana, Yaani Nancy alikiri kukimbia Nyumba yake mwenyewe, na Meseji za kutaka kuua zipo, Lakini Ushahidi wa wizi wa mabilioni upo na ndo Maana Nancy yeye kwa maandishi yake Instagram na Akaunti yake real na fake alikiri kuwa Mfanyabiashara Huyo Kwenye kampuni ana Madeni mengi, alibeza kampuni aliyokuwa anajua Siri zoote na ndo Maana mwanzoni alikubali Talaka na akaachana na kesi kwa Sababu alisema Kuna Madeni.
Leo Wewe unayetumia jina letu pendwa unasema HAKIMU mla rushwa Kweli, Wewe ndiye hakimu unaongozwa kwa Ushahidi na Ushahidi wa wizi, umalaya, uchawi, ushirikina, nk vyoote vilipelekwa mbele ya hakimu na hukumu ikatoka Sasa Rushwa hapo Ni nini? Au Nancy hajakupanga?
Au zile Bilion alizoiba bado zipo, alimjengea Nyumba Mpenzi wake Mtabibu Mitimingi, na uliishuhidia ilizinduliwa, ili waue Ushahidi haraka haraka alizindua Kiongozi Mkubwa wa jeshi la Polisi na Mtabibu akaoa haraka haraka, Lakini Ndugu Kafara za Afrikana Kwenye petrol Station ya Mfanyabiashara Huyo ukuziona Tembelea Akaunti ya @NigelBaby Instagram utaelewa mengi Mpaka sauti za Mipango ya kuua, wizi, na Ujinga.