DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unajua mtalaka anahitaji ushauri asije kujidhuru 🤭
Na unanijua nipo vizuri kwenye kutoa ushauri
Hebu fanya chap hutaki kwenda Santorini wewe
🤣🤣🤣Yaani huo ushauri ukampe sehemu zenye utulivu kama Ibiza au Bora Bora island...Na hapo kwenye Santorini mdogo wangu sio nikupe connection halafu ukifika huko unisahau,🙆🙆🙆....
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768

Sasa hii habari inatuhusu nini hasa???
 
Shida ni kwamba huyu dada alikuwa Malaya kupitiliza huyu Nancy alikuwa anatembea hadi na wafanyakazi wake yani hii ni ushahidi kabisa huyu Nancy alikuwa anatembea hadi na Marafiki wa Mwanaume wake,Mwanaume Akisafiri yeye anapeleka wanaume nyumbani kwa Mume wake anaagiza hadi wadada wa kazi wapike chakula sasa Kuna mtu hapa au uchafu Jamani muacheni Davis wa watu apumzike aishi kwa amani maana Ameshateseka sana kwa huyu mwanamke mwizi kwa hiyo Mungu ameamua kumuondolea gunia la miba kichwani kwakweli na ashukuriwe Mungu kwkuwa hawakumuuua
Wanawake wa singida ni malayahh kwa asili🙏
 
Ila mimi nikishasemaga, kunipeleka kanisani kufunga ndoa itabidi itumike Caterpilla kunivuta niende 😂😂, mimi hata watoto wangu wakiume nawaambiaga hivyo hivyo, hakuna kusaini mkataba kanisani, never.., 🤣
Kama fala. So umezaa na nani? Na hakuna mwanamke mwenye akili anaekubali kuzaa na janaume ambalo halijamuoa. So wewe, uliezaa nae na hao wanao wote mapunguani. Kuzalisha kizazi cha bastards
 
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Alikuwa anachuma na kupeleka kwako, 1.4 million Usd
 
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.

Acha kutokwa maneno wewe kaoe kwenu tu…huyo nancy ni mzaramo sio wa kaskazini komaaa
 
Kama fala. So umezaa na nani? Na hakuna mwanamke mwenye akili anaekubali kuzaa na janaume ambalo halijamuoa. So wewe, uliezaa nae na hao wanao wote mapunguani. Kuzalisha kizazi cha bastards
Hahahah, kwahiyo bila kusaini mikataba ya ndoa watu hawazai? Sasa mtu anatunzwa, anapewa nyumba , gari, malezi mazuri ya watoto wake, asizae mchezo? 🤣🤣😂😂😂,
Mbona wewe ndio unakuwa kama punguani ndugu?
 
Back
Top Bottom