Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Vijana changamkieni fursa kwa shangazi Nancy jimbo lipo wazi,mkampe faraja kwa mgegedo wa 5G.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakim hakufanya,bali alifanya kile ambacho kwa dunia ya sasa wanaume wenye akili timamu tunapaswa kukiiga.Yule alifanyiwa uhuni wa Karne
Am aware ndo mana nimemuulizia mleta mada kwa kusema respondent hajupewa mirathi na mahakama.Kwenye talaka hakuna mirathi, kuna mgawanyo wa mali (division of matrimonial properties).
Mirathi ni mgawanyo wa Mali pia, lakini unatokea mwenye mali akiwa ameshafariki.
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.
Bush lawyer, unadhani watu wanawalipa mawakili kama urembo tu?Nimeona pakupindulia meza kama akikata rufaa anapiga chini mzigo wote. Labda kama mwenendo ukawa umetibu ilo kosa tofauti na uamuzi
Fikira zako ni za kitumwa sana na hujitambui kabisa unafikiri lugha ya kiingereza ndio kila kitu!Mwendakuzimu alikuwa mshamba sana
Mwanamke anaetombwa nje hawezi kuvumiliwa.....soma hiyo hukumu...This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Unashindana na Jaji na ushahidi uliotolewa?Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Manara Kqviunja Ndoa Ya DavisUkiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Mmh mbona juzi kwenye insta story nlimwona kylln amejirekodi yupo kwenye live concert ya Alicia keys FisadiKuuNadhani Familia inajua kila kitu ndio maana wamempiga yule mdangaji nyundo za kufa mtu kule mahakamani. Sasahivi kwenda Dubai ni mara moja kwa mwaka, ni basi tu wale watoto bado ni wadogo wameshindwa kuwachukua. Benjamin ni mafia kweli kweli
Uliza ufundishwe Mkuu. Najua nachoongea na uwakili ni taaluma yangu pia.Bush lawyer, unadhani watu wanawalipa mawakili kama urembo tu?
Mwanaume alikuwa anapenda na kujali Familia yake Ila mwanamke alikuwa Shetani huyu Jamani! Kalikuwa kanaiba hela kanaenda Kuhonga wanaume huko
yani ungejua mtu unayemtetea ungenyamaza kimya tu!Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?
Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.
Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...
Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
naombeni niwaambie kitu Yani huyu mwanamke anayejiita Nancy ni Shetani kwanza hafai Halafu kwanza huyu sio Nancy ni Habiba yani niwaambie Nyie Humu wanajamii forum wenzangu Kuwa Nyie hamumjui vizuri huyu mwanamke aliyekuja kutafuta haki uchwara Humu yani Mimi ndio namjua vizuri huyu JiniMnataka katiba Mpya au Mnataka Maji
Wajinga.....tunataka Maji😆😆😆