DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanawake wa sikuhizi ni wauwaji na wamekuwa chanzo cha vifo kwa wanaume.Hapo kilichofanyika ni sahihi,wanawake wa kaskazini ni kaa la moto mda wowote anaweza kukumaliza ili arithi mali.Iwe fundisho na wanaume tuweni makini sana na hawa viumbe kwani mstari unaotenganisha upendo na chuki kwenye ndoa ni mdogo sana wengi wanaishi kinafaki.
 

Attachments

  • VID-20240223-WA0054.mp4
    252.7 KB
This is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.

Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Mwanamke anaetombwa nje hawezi kuvumiliwa.....soma hiyo hukumu...
 
Mosha ili suala litamtafuna ngoja huyo mwanamke akate rufaa ,mwanamke alikuwa anajua biashara zake kwa miaka 20 na kitu ,ina maana kilichochumwa baada ya ndoa ni sehemu ya mali ya meke mume.
Unashindana na Jaji na ushahidi uliotolewa?
 
Mapicha picha ya Nancy yalianza muda tu kidogo angalieni alipokimbia Nyumbani kwake kwa Aibu ya Watoto wake kuona alitaka kuua mdogo wao wa Damu, Baadaye zile USD 750,000 nk za PUMA, akadai amenunua Apartment Masaki hababaishwi na mtu, tena akaaunda watu waseme Mosha kakimbiwa na mke, ana Maisha yake.

Yaani jamani jamani kweli mtu akimbie kwake halafu aibe, halafu adai Mali jamani.

Matajiri wataogopa kabisaaa, Nancy aibe mabilioni kwa mabilioni Halafu akimbie adai, leo Matajiri wanapitia joto kali la wanawake kama Nancy Yaani neno ndoa limegeuka kuwa ndoano kwa Matajiri, eti ukishachuma tu, mwanamke anondoka alipwe ili akale na vicekbob, aiseee, Yaani mtu anapata mali kwa maumivu familia yake iishi kwa furaha, inageuka Shubiri mgao mgao ili ahonge.

Maswali ni mengi kwa Nini Nancy alifuta kesi na leo analeta Porojo Mitandaoni,
 

Attachments

  • Screenshot_20240223-192018_1.jpg
    Screenshot_20240223-192018_1.jpg
    187.3 KB · Views: 15
Nadhani Familia inajua kila kitu ndio maana wamempiga yule mdangaji nyundo za kufa mtu kule mahakamani. Sasahivi kwenda Dubai ni mara moja kwa mwaka, ni basi tu wale watoto bado ni wadogo wameshindwa kuwachukua. Benjamin ni mafia kweli kweli
Mmh mbona juzi kwenye insta story nlimwona kylln amejirekodi yupo kwenye live concert ya Alicia keys FisadiKuu
 
Kuna haja Sasa kuwepo na ndoa za mkataba ambapo mkioana, wanandoa waweke vipao mbele vya ndoa yao ndani ya muda wa mkataba kwa mfano idadi ya watoto watakaozaliwa, baada ya ndoa nani atahusika na custody ya watoto, terms za biashara/miradi ya ndani ya ndoa, whether mkataba ukiisha unaweza kuwa renewable, na je kabla ya ndoa nani alikuwa na nini, n.k. Rate ya ndoa kuvunjika inaongezeka kwa Kasi sana hata H.E. Samia Rais wa JMT ameshalisemea hili hivi karibuni kwamba linaathiri maadili na hatima ya watoto, so guys ni vizuri sana wansheria wetu pamoja na watunga sera na Sheria bungeni wakaliona hili kwa ustawi wa jamii yetu.
 
Mwanaume alikuwa anapenda na kujali Familia yake Ila mwanamke alikuwa Shetani huyu Jamani! Kalikuwa kanaiba hela kanaenda Kuhonga wanaume huko
Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?

Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.


Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...

Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
yani ungejua mtu unayemtetea ungenyamaza kimya tu!
Mnataka katiba Mpya au Mnataka Maji


Wajinga.....tunataka Maji😆😆😆
naombeni niwaambie kitu Yani huyu mwanamke anayejiita Nancy ni Shetani kwanza hafai Halafu kwanza huyu sio Nancy ni Habiba yani niwaambie Nyie Humu wanajamii forum wenzangu Kuwa Nyie hamumjui vizuri huyu mwanamke aliyekuja kutafuta haki uchwara Humu yani Mimi ndio namjua vizuri huyu Jini
 
Back
Top Bottom