DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kiingereza cha kisheria sio grammatical imekaa vizuri inaeleweka angalia content za hukumu isome vizuri yote haina upendeleo:
Haujui kiingereza. Good grammar ni muhimu na hasa katika sheria ili pasiwe na ambiguities. Neno " nitty gritty" ni colloquail na halina nafasi katika formal language.

Nimeisoma hukumu na imejaa mapungufu. Ni kama vile ndugu wa marehemu waseme mjane hastahili kurithi kitu kwa sababu alikuwa fuska!

Amandla...
 
mke mwenyewe ndo kasema hataki mali ukisoma vizuri.......ila angetaka kuna uwezekano angepewa mgao wake
Mke hajasema hataki Mali, ukisoma Ile hukumu inasema Ile ni matrimonial court, Mali ambazo inaweza kuzigawanya ni Mali za wanandoa, zilizochumwa pamoja.....kinachoonekana Mosha ametengeneza mazingira kuwa hamna Mali ya wanandoa, Mali zilizoorodheshwa ni zake binafsi kabla ya ndoa, alizonunua wakati wa ndoa baada ya kuuza Mali zake za kabla ya ndoa na Mali za kampuni zenye madeni.
Utaona mwishoni hukumu inarecommend mke anaweza kufungua madai mahakama ya madai kudai mgao wa Mali za kampuni.
Hukumu hii inahusu talaka na mgawanyo wa Mali za ndoa.
 
Wengi kuna kitu hamjaelewa, wengine wote sijawapa maelezo haya ila wewe ndugu yangu ngoja nikwambie…

Wakati hii post imewekwa, muda ambao sisi wa mwanzo tunachangia hakukuwa na maelezo hayo ya ziada. Maelezo hayo yaliwekwa baadae.
Hapo sawa mkuu Nifah.

Kwenye hukumu, huyo Nansi hajakanusha jaribio la kumuua mumewe kwa sumu, amekuwa mtu wa kwenda kwa waganga mara kwa mara, hadi kutembea na mganga Mitimingi.

Amemuibia mumewe mabilioni na hakuwa partiner, bali muajiriwa kwny kampuni.

Nimeandika machache yaliyopo kwny hukumu.
 
Zote hizo ni hearsay. Inaelekea una usongo na huyo Nancy hivyo unadhani mtu yeyote anaesema kuwa hukumu haina mashiko ni mtu aliyetumwa nae. Mimi simjui lakini kwa hicho mnachosema ni ushahidi hamna kesi hapa.

Amandla...
Mshauri aende mbele zipo mahakamani za juu aache kulia lia humu, Mitandao haitamsaidia, alitukana Instagram mwaka, leo huruma humu, Kama Wewe Unaijua sheria na uliona kingereza kibovu Cha hukumu mtafute skate Rufaa, aache utahira, Nani ampe Mali Malaya amechafua familia, unamtetea mjinga Mpumbavu unalaana wewe
 
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?

Amandla...


Ukiisoma hukumu kwa utulivu unapata picha ya mwanamke anaemsuta mwanamke mwenzie huku kaweka mikono kiunoni, hasa pale “the court is not her mother”…. Nime imagine kabana pua kabisa!
 
Mkuu mimi naona dunia iachane tu na mfumo dume 50 50 itake over rasmi, kusiwe na mgawanyo tena wa majukumu hata kazi za nyumbani nazo zifanywe na wote, na mwanaume asimtawale tena mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe simple tu


Japo chungu ila ndio uhalisia ujao.


Family die hard fans in jeopardy!
 


Uko sahihi sana.

Hukumu imeandikwa ki”Swahili sana!
 
mke mwenyewe ndo kasema hataki mali ukisoma vizuri.......ila angetaka kuna uwezekano angepewa mgao wake
Nancy anapost andiko mwenyewe, Halafu anajijibu mwenyewe kwa majina ya fundi Mchundo mara Bibi titi, ukitaka kujua Mwanasheria wake Diana anadanganya, soma post za utetezi, ni Diana mtupu.

Lakini Ushahidi woote wa kesi ulienda Mahakamani na mahakama ikajiridhisha wewe Nancy ni mwizi, na ulishawishi mpka Mtoto wako ashiriki dhambi ya mauaji, yaani mali tu ndo uue, Nancy hutabaki salama
 
Kachuma na nani..jamaa ni tajiri kabla ya ndoa
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Kama mahakama imethibitisha alitaka kumuua kwa sumu hilo linafuta kabisa hayo mazuri yake yote kisheria… kama alitaka kumuua kwa kumuwekea sumu alitakiwa kufungwa jela huyu ni muhalifu sio mke huyo hivyo ni sawa kabisa kuachwa na ndoa kubatilishwa kwa ukiukwaji wa haki ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…