Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui kiingereza. Good grammar ni muhimu na hasa katika sheria ili pasiwe na ambiguities. Neno " nitty gritty" ni colloquail na halina nafasi katika formal language.kiingereza cha kisheria sio grammatical imekaa vizuri inaeleweka angalia content za hukumu isome vizuri yote haina upendeleo:
Kama demu mwenyewe ni msingida hilo la kupigwa miti kiholela wala sishangaiDemu ana tamaa sana,imagine alimfungulia migahawa na bar almost kwenye shell zote za Puma ila demu akawa anapigwa miti kindezi.
Mke hajasema hataki Mali, ukisoma Ile hukumu inasema Ile ni matrimonial court, Mali ambazo inaweza kuzigawanya ni Mali za wanandoa, zilizochumwa pamoja.....kinachoonekana Mosha ametengeneza mazingira kuwa hamna Mali ya wanandoa, Mali zilizoorodheshwa ni zake binafsi kabla ya ndoa, alizonunua wakati wa ndoa baada ya kuuza Mali zake za kabla ya ndoa na Mali za kampuni zenye madeni.mke mwenyewe ndo kasema hataki mali ukisoma vizuri.......ila angetaka kuna uwezekano angepewa mgao wake
Hapo sawa mkuu Nifah.Wengi kuna kitu hamjaelewa, wengine wote sijawapa maelezo haya ila wewe ndugu yangu ngoja nikwambie…
Wakati hii post imewekwa, muda ambao sisi wa mwanzo tunachangia hakukuwa na maelezo hayo ya ziada. Maelezo hayo yaliwekwa baadae.
nzalendo alikuwa anaonekanaje mkuu? anaonekana ni mwanamke mapepe?Kwa kifupi mke wa Davis nilianza kumuona pale IFM alikuwa na Nissan patrol short chasis....ukimtazama kwa jicho la 3 lazima utagundua jamaa aliingia chaka...halafu ukizingatia ni Singida line...
Mshauri aende mbele zipo mahakamani za juu aache kulia lia humu, Mitandao haitamsaidia, alitukana Instagram mwaka, leo huruma humu, Kama Wewe Unaijua sheria na uliona kingereza kibovu Cha hukumu mtafute skate Rufaa, aache utahira, Nani ampe Mali Malaya amechafua familia, unamtetea mjinga Mpumbavu unalaana weweZote hizo ni hearsay. Inaelekea una usongo na huyo Nancy hivyo unadhani mtu yeyote anaesema kuwa hukumu haina mashiko ni mtu aliyetumwa nae. Mimi simjui lakini kwa hicho mnachosema ni ushahidi hamna kesi hapa.
Amandla...
Kimapepe mno, mdomo mchafu sananzalendo alikuwa anaonekanaje mkuu? anaonekana ni mwanamke mapepe?
kweli wanyaturu, wanyiramba inasemekana hawajatulia.
Okay. Unamjua vizuri mkuu huyo dada?Kimapepe mno, mdomo mchafu sana
Bado ww na Mahondaw😁😁
Mtu yeyote anayetumia maneno "nitty gritty" katika hukumu anatia wasiwasi. Na kwani huyo mama alikuwa anajiita Davis Mosha mpaka Hakimu aone kuna umuhimu wa kumzuia kulitumia?
Amandla...
Mkuu mimi naona dunia iachane tu na mfumo dume 50 50 itake over rasmi, kusiwe na mgawanyo tena wa majukumu hata kazi za nyumbani nazo zifanywe na wote, na mwanaume asimtawale tena mwanamke kila mtu ajitawale mwenyewe simple tu
Sema namkubali sana Antonnie hanaga mbambambaa👌🏽
Yote hayo unayoyasema hayana maana katika hili shauri la haki ya mtalaka. Kama alikiri kuwa alitaka kumuua angeshitakiwa kwa kosa la attempted murder. Lakini kama hajawahi kupatikana na hatia mahakamani kuhusu tuhuma hizo zinabakia tuhuma tu. Masuala ya ufuska na yenyewe nafasi yake ni katika talaka na sio katika mgao wa mali. Kuwa na majina mengi sio kosa la jinai. Kama haijawahi kuthibitishwa mahakamani kuwa aliibia kampuni hizo nazo zinabaki tuhuma tuu na hakimu hakupaswa kuzitilia maanani katika kugawa asset. Na hata kama aliwahi kusema kuwa hazitaki hizo mali ulikuwa bado ni wajibu wa hakimu kuangalia tu sheria inampa haki gani mtalaka na sio vinginevyo.
Hii hukumu ilivyoandikwa inaonekana kuwa ilikuwa vindictive yenye nia ya kumkomesha Nancy kwa sababu tu mwanaume mwenzake amelia kuwa amesalitiwa na kuibiwa katika ndoa! Ni hukumu ya ovyo sana. Na imeandikwa kwa kiingereza kibovu mno.
Sitashangaa kama itawekwa pembeni kama huyu mwanamke atakata rufaa.
Amandla...
Nancy anapost andiko mwenyewe, Halafu anajijibu mwenyewe kwa majina ya fundi Mchundo mara Bibi titi, ukitaka kujua Mwanasheria wake Diana anadanganya, soma post za utetezi, ni Diana mtupu.mke mwenyewe ndo kasema hataki mali ukisoma vizuri.......ila angetaka kuna uwezekano angepewa mgao wake
Kachuma na nani..jamaa ni tajiri kabla ya ndoaThis is wrong in so many ways. Bora angekuwa mama wa nyumbani (nayo sio sawa pia) Kama ameshiriki kuchuma nae kwa miaka 20 hiyo ni dhulma.
Lakini mali hazijanisikitisha sana kama ndoa kuvunjika. Miaka 28? Ni madhaifu gani hayo ambayo hawakuweza kuyavumilia baada ya miaka 28?
Kama mahakama imethibitisha alitaka kumuua kwa sumu hilo linafuta kabisa hayo mazuri yake yote kisheria… kama alitaka kumuua kwa kumuwekea sumu alitakiwa kufungwa jela huyu ni muhalifu sio mke huyo hivyo ni sawa kabisa kuachwa na ndoa kubatilishwa kwa ukiukwaji wa haki ya kuishiHalafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.