DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wengi kuna kitu hamjaelewa, wengine wote sijawapa maelezo haya ila wewe ndugu yangu ngoja nikwambie…

Wakati hii post imewekwa, muda ambao sisi wa mwanzo tunachangia hakukuwa na maelezo hayo ya ziada. Maelezo hayo yaliwekwa baadae.
Ok …Nifah!
 

Attachments

  • IMG_1790.jpeg
    118.8 KB · Views: 10
Unaandika kama mke mwenza wa huyo Nancy au mtu unayetegemea kumrithi. Umekurupuka kuweka bandiko ambalo ulidhani wote tutalimeza kavu kavu kwa sababu tu ni kitu unachoita hukumu. Lakini inaelekea haumjui Fundi Mchundo maana umeingia humu kwa lengo moja tu nalo ni la kumchafua Nancy. Sio rahisi kihivyo humu JF ambamo wako ambao hawapendi uonevu wa aina yeyote.

Amandla...
 
K
Kudai mali za kampuni ni kipengele, unless uwe share holder.
 
Alikuwa ni Zaidi ya mchafu kashafanya uchafu mwingi sana, huyu dada alikuwa anatembea na wafanyakazi wake wa Supermarket, huyu Dada wakati wa uchaguzi wakati Mume wake anahangaika kupata kura kwa ajili Ya maisha Ya Familia na wana Moshi yeye kaenda kufanya mapenzi na Mwanaume kwenye Gari tena mcheza Mpira yani mwanamke hafai hata kidogo alikuwa anatembea na rafiki wa Mume wake ambaye ana kituo cha Mafuta Pia yani ni haifai kabisa
 
Na kurithiwa Tiyari wala sio kificho, tena na soon mambo yataenda, Nani amchafue jua Nancy ndo Mwanamke pekee anayedhalaulika na watoto wake woote, walianglia Umalaya wake, upumbavu wake live, Nancy Ni mchafu TU Ni Mbwa TU,. .Fundi Mchundo kila mtu anajua Ni area ya Technician, labda Mbwa ndo asijue Lakini siye twajua Nancy
 
Yule wa kituo Cha mafuta pale KCMC Ni Mpenzi wake mpaka leo, anakengine pale Moshi kalevii, kakilewa kanatamba ohhh Nancy amenitumia ya kunywa, mwanamke mchafu sana
 
kweli kuna watu tunawaona kwa nje, kumbe ndani ya nyumba zao hali si shwari. Ni kama maisha tunayoyaona mitandaoni.
 
Amezifanyia kazi Hela na wakati ameenda kumuhonga mganga wake maryooooo mganga kapewa hadi ofisi Bure mganga kapewa hadi mtaji mganga alikuwa na nguvu Ya kufukuza hadi wafanyakazi, mganga kahongwa hela kaenda kujenga ghorofa huko unataka Kusema Nini wewe, tena hii maada aliyeipost Humu aitoe tu maana Tukiamua kumdhalilisha huyo Nancy ni atahama huu mji yani maana hadi picha zake na mganga ninazo alizopiga hotelini yeye alivyokuwa anasaliti na mganga alijua ni sifa ehh sasa picha zake za hotelini tunazo mwambieni asiamshe vilivyolala
 
What??

Wewe unaona hiyo lugha imenyooka?

Nikianza kuichambua hapa hiyo hukumu, huyo mwandishi halatı hapati hata C. Ni C- na kurudi chini.
Uchambue Nini bana wewe Halafu wewe ni Nancy tumekujua Embu jitulize bana unatuchosha yani kuziangua uzingue Halafu uje utafute Huruma Humu acha upuuzi wewe nakwambiaje ulimwengu utukufundisha
 
walikuwa washikaji sana. Alafu ex wife wa Lemutuz baada ya Lemutuz kusonga mbele akawa anawatumia kina Mange kumchafua jamaa
 
Nimejifunza kuna wanawake wanapenda shida. Ukiwapa raha kupitiliza ni matatizo wanasahau walipotoka. Aisee Mosha alivumilia mengi sana. Huyu Mwanamke hajajiharibia yeye tu kajiharibia hadi kwa watoto wake. Wanasema majuto ni mjukuuu atakuja kujua alipoharibu baadae sana. Maana najua mpaka sasa anaamini akienda kudai mgawanyo wa mali ili atamkomoa mumewe. Haya mambo nimeyaona kwenye familia nyingi za wenye hela. Ushauri wangu mapenzi hayalazimishwi. Ukiona mmeshindwana bora muachane. Na pia kwa wanawake mlio katika ndoa: Ni vigumu sana kupata mwanaume anaeweza kukuhudumia na wa kuishi nae bila shida ndogo ndogo kwa karne hii. Kwa hio ukiolewa tulia na jishushe. Mwanaume anaemtesa mke wake anaejishusha ni yule ambaye mke wake amemzidi kila kitu. (mwanaume mwenye inferiority complex)
 
Kumsemea ovyo mwanamke mwenzako ni haki yako. Na hata ukimtukana unavyofanya pia ni haki yako. Lakini kutegemea wote tutakuunga mkono sio haki yao.

JF sio Insta. Umeingia humu juzi tuu, hauwezi kumjua Fundi Mchundo.

Amandla...
 
kweli kuna watu tunawaona kwa nje, kumbe ndani ya nyumba zao hali si shwari. Ni kama maisha tunayoyaona mitandaoni.
Davis hata hayupo rafu zile Nywele ni style aliyoamua kuiweka! Sema tu Davis ana Moyo sana maana aliishi na Jini ndani yani Yule mwanamke amesomeshwa na Davis yeye na ndugu zake wote Halafu Leo analeta habari za kutaka Mali hapa Mali zipi sasa! Wewe mtu alikutwa kibaha huko na ndala akasomeshwa mpaka chuo ifm Halafu Leo analeta ujinga hapa huyu Baba wa watu kavumilia Mengi Jamani ni hamjui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…