DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umeongea point ukiwa kwenye ndoa na mume anatimiza majukumu komaa na ndoa yako. Hata kama mume ana hawara kumbuka wewe ndo Mrs na unatambulika. Hakuna kitu kubaya katika maisha kama kupoteza focus.
Na Pia
Miaka mingi kwenye ndoa Nancy na wapambe wako sio sababu ya kupewa Mali,
Huyu mwanamke Nancy mjinga ndoa yake ni Miaka 23 tu, muongo Sana eti miaka 28 atuonyeshe cheti kwenye case tunaona ni Miaka 23, Huyu mwizi alikuwa msimamizi wa baadhi ya maeneo, Hana uwezo wa muhasibu na akiwa Nafasi hiyo ndio aliiba, alipewa huo Kama mgao.

Nafasi miaka 2 tu na alikuwa analipwa mshahara hakufanya Bure na pia sio sababu ya kupewa Mali, Kwa hiyo wahasibu wa makampuni makubwa wapewe Mali? Au kila mfanyakazi katika kampuni apewe Mali, Mambo ya kampuni sio mambo ya mke, Mnaongea ujinga mjifunze, Pia kampuni Zina madeni sio Mali ya ndoa msikurupuke eti miaka 28 Bila Mali?Duuuu!!! Nauliza leo huyo Davis angekuwa fundi viatu wameachana angetaka Mali?!??.

Jamani hizi Mali matajiri wengi wanakufa kwa sumu wanawake ni wauaji Sana, Nancy Roho imemtoka kisa Mali Sasa nauliza Mali zipi anataka, Za kafara au za kampuni? Au za Madeni? Haki yake ipo mahakamani sio jamii forum, Kwanini Nancy anatukana watoa haki mahakama na bado anataka haki? Upumbavu Sana.

Miaka mingi kwenye ndoa sio sababu ya kupewa Mali.
waambie kabisa na Baba wa watu Pamoja na kumuacha bado alimpa Nyumba na Gari na cash Lakini mwanamke hakomi ameanza chokochoko tena yani hapo tu anapokaa amelipiwa sasa nashangaa Shida ni Nini sijui anataka Roho Ya huyo baba na sasa Kichwa kinamuuma kuharibu sijui Nani atamlipia tena mwanamke Mpumbavu anawaza Mali Mali Mali tu kama ni watoto wapo Kwa baba yao huyo Baba Kampa mtoto mkubwa kila kitu ndio ceo na shareholder sasa Shida ni nn huyo Davis mwenyewe hana Shida na Mali kila siku ni masadaka kanisani huko Moshi kiboroloni mwaka wa 26 huu anasaidia Misaada wazee yani huyu dada hiyo laana aliyonayo itamtesa sanaaaa
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

==========
MAAMUZI YA MAHAKAMA
  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji(Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Wanawake Jifunzeni kutafuta mali zenu wenyewe.
 
Halafu huyu mama anasema miaka 28 ipi sasa na wakati ni 23 hivi ni Mali tu au Nini jamani huyu mama kasahau Kuwa huyo Baba aliuguza baba yake na msisahau kapewa mali Pamoja na matusi aliyomtukana na hata hapo anapokaa ni alilipiwa na Davis na alimnunulia Nyumba na Gari Lakini kwa sababu Ya mitandao kumtukuna na yeye mwenyewe akishiriki ndio Amenyang’anywa tena yani mwanamke mshenzi ameshiriki kutoa Siri za ndani za Mume wake Eti alikuwa hamfanyi vizuri ndio maana alienda kutafuta danga yani huyu si mwendawazimu huyu hivi mwanamke aliyefundwa anaweza kuongea haya kweli Jamani na Baba wa watu kanyamaza kimya yani uchafu wote ulioongea Mitandaoni utakutafuna mwenyewe na wewe sio Mungu wa Kupanga kifo cha mtu na umewahukumu marehemu kwa sababu wamekufa kwa magonjwa ya ukimwi je ww unajua Kesho yako utakufa na magonjwa gani? Yani wewe mwanamke wewe?
 
notorious anti marriage activist dronedrake kuja usome huku. Dah ndoa baana. Chaliifrancisco naye kalizwa mifugo yote kwa mke wake aliyemuacha nakwenda kwa ndawoo mwengine amebaki na mbusii wawili tu. Nyau kabisa huyu dogo. Afadhali adriz alilizwa tende na halua kutoka kwa mke wake mdogo
ningeenda Ashkelon ningeoa fasta, ila siyo hii mijizi ya Tz
 
Duh! Na yeye mke akikuacha inakuwaje? Maana mke hutoa talaka pia.
Anakurejeshea mahari yako tu halafu basi....Ila mume anaweza kudai hata mara 10 ya mahari aliyotoa ili aachike🤣
Na Kama mke ana Mali si mbaya akampa kidogo mtalaka wake asiadhirike.....kuna Raha gani kuona mtalaka wako anaadhirika.....ndo mana tukaambiwa tuachane Kwa wema.
 
Kitu kinachoendelea kumlinda na kumsaidia Mfanyabiashara Kipenzi Cha watu DavisMosha Ni Ile Hali yake ya Upendo kwa Yatima, wajane na Kusaidia kila ambaye amemfikia, Huyu Nancy atahangaika Sana, atapata Taabu Sana na Mauchawi yake, maumalaya yake, Ujinga wake, upumbavu na kujiona, ameiba, amesamehewa Siku nyingii hasikii aache kushindana na MBINGU, Kabisa ataangukia Poa....Mjinga Sana Nancy, Hapa JamiiForum Ni Mahakamani kweli, mshamba Sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240224-210939_1.jpg
    Screenshot_20240224-210939_1.jpg
    405.6 KB · Views: 13
MIMI KWENYE NDOA SIJALI SIJUI MWANAMKE NI MWIZI MUONGO ANA KIBURI HIVYO VINAVUMILIKA. ILA NACHOJALI TU NAKINACHONIFANYA NIOGOPE NA KUKATAA NDOA NI KUGONGEWA NA KUCHAPIWA HICHO TU. WEE FIKIRIA WAIFU WAKO ANAGONGWA IKICHOMOKA ANAIRUDISHA KWA KUCHOMEKA.

KATAENI NDOA ASEE. NYAU NYIE.

MBRRRRRR
 
Back
Top Bottom