Miaka mingi kwenye ndoa Nancy na wapambe wako sio sababu ya kupewa Mali,
Huyu mwanamke Nancy mjinga ndoa yake ni Miaka 23 tu, muongo Sana eti miaka 28 atuonyeshe cheti kwenye case tunaona ni Miaka 23, Huyu mwizi alikuwa msimamizi wa baadhi ya maeneo, Hana uwezo wa muhasibu na akiwa Nafasi hiyo ndio aliiba, alipewa huo Kama mgao.
Nafasi miaka 2 tu na alikuwa analipwa mshahara hakufanya Bure na pia sio sababu ya kupewa Mali, Kwa hiyo wahasibu wa makampuni makubwa wapewe Mali? Au kila mfanyakazi katika kampuni apewe Mali, Mambo ya kampuni sio mambo ya mke, Mnaongea ujinga mjifunze, Pia kampuni Zina madeni sio Mali ya ndoa msikurupuke eti miaka 28 Bila Mali?Duuuu!!! Nauliza leo huyo Davis angekuwa fundi viatu wameachana angetaka Mali?!??.
Jamani hizi Mali matajiri wengi wanakufa kwa sumu wanawake ni wauaji Sana, Nancy Roho imemtoka kisa Mali Sasa nauliza Mali zipi anataka, Za kafara au za kampuni? Au za Madeni? Haki yake ipo mahakamani sio jamii forum, Kwanini Nancy anatukana watoa haki mahakama na bado anataka haki? Upumbavu Sana.
Miaka mingi kwenye ndoa sio sababu ya kupewa Mali.