DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
The institution of marriage is going to die in the next 20 years.haya ni madhara ya ubepari na ubinafsi.wanawake wameamka na wanaume wamekuwa macho.

teknolojia ikifika mahali ambapo mwanaume/mwanamke unaweza kununua watoto wa kwako mwenyewe bila mwenza tena kwa bei stahimilivu ndoa zitakufa rasmi duniani.
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Stahiki kama nimekufa na tulikuwa kwenye ndoa hapo sawa anastahili,lkni sijui kama tuna Sheria strong zinazompa haki divorcee
 
Hivi hizi grounds mnatokaga nazo wapi sijui jina la mama sijui la baba sijui watu wengine.
Mali za mtu mahakamani ndioz hutajwa. Hmna chizi anafungua kesi kudai mali zisizomuhusu, wala mahakamani hakuna kesi inayohusu mali zisizokua zimeorodheshwa kwa majina ya pande zote mbili.
Ukifika mahakamani mali zinatajwa zile zinazohusu tu. Hivo ukiona mtu kashinda au hajagawa mali ww unazozifahamu basi ujue hizo mali hazihusishi zote unazojua. Pili, huyo mwana mama. Inawezekana kuna makosa yamemkosesha mali, inawezekana, hakuwepo wakati wa kuchuma mali on subject, inawezekana davis ana grounds zakutoweza kugawa mali zake. Na grounds hizo zipo hapo.hana mali yoyote kwa jina lake. Maali nyingi ni za kampuni, ni ngamia tu wapo chini yake tena kama private property, mali nyingi alizichuma kabla ya ndoa, na mwanamama huyo kabeba kitita cha kutosha zaidi ya usd milioni 750, Pia aliwekeza mali kivyake mwanamama huyo na davis hakuwa na haja ya kuzifatilia.
Dada kayakanyaga kukubali Kuhusu mitomingi, yaani grounds zote davis hatakiwi kumpa mali huyo dada. Sasa muache oooh kaandika majina mama. Hamna mali ya mama yako itakuja mahakamni kama kielezo ni mali yako.
 
Mengi nusu apate ugonjwa kisa ile kesi ya mwanzo sembuse Mosha tajiri wa kawaida sana ..

Tambua dunia inampa mwanamke kipaumbele huko Marekani watu kesi zinawasumbua ,kama akikata rufaa utaelewa ngoja tuone .
Na hayo mambo yakuwapendelea wanawake ata kama wao ndo chanzo cha tatizo ndo maana uku afrika watu wameamua kuchukua sheria mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa.Mungu akuiumba ndoa.Ndoa ni mambo ya binadamu kama alivyoanzisha Dini,Pesa na vingine.Mambo aliyoanzisha Mungu yako vile vile ila aliyoanzisha binadamu kila siku ni changamoto mpya zinaibuka.Kuna wafia dini ambao hawataki kuelewa ila muda utawaelewesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.

Wanamuita mdangaji sababu ni mwizi huyo mwanamke. Hata mbele ya jaji ameshindwa kupinga hoja za mumewe kwamba yeye ni mwizi. Na hela alizoiba zimetajwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240223-075857_Firefox.jpg
    148.3 KB · Views: 24
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Huyo ni mdangaji tu yani mali zangu anataka tugawane ili akazifanyie umalaya hamna cha zaidi ni tamaa na umalaya tu hapo
Me ningekuwa huyo Mosha na mwanamke akashinda kesi kwenye rufaa
Siwezi kumuacha salama
 
Wanawake watafute pesa zao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…