DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .

Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
Hakuna kitu. Braza, nitafute mali in my entire life, nishindwe kuzilinda mpaka nichezewe na mwanamke niliyemuajiri just for 20 years?? Huyo ni mfanyakaz kama wafanya kaz wengine tu
 
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.

Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.

Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.

Hukumu imeandika Mke hajabisha hoja zilizosemwa juu ya wizi huo.

Mbele ya jaji ameshindwa kujitetea. Maana yake ni mwizi.

Yaani kweli usingiziwe mwizi halafu ushindwe kujitetea ?
 
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.

Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.

Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.

Mara katunga uongo mara kamnyanyasa daah

Tukubaliane na ukweli hata kama ulikua mke sio kigezo cha kuiba mali ya mumeo! The moment umeiba jua ume disqualify kuwa mke.
 
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.

Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.

Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.

Je hii ni sawa?

View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Shida mwanamke ni mwizi

Na cha ajabu hakukataa huo wizi

Yaani dollar karibu milioni 7 in total .... amechukua kwa signature za wizi

Huyu dada tamaa zilimzidi sana,mpaka kuiba pesa nyingi hivyo?

What a bad woman

Kiongoli ni watu wa wapi aisee?I know sio Mchagga kabisa,Mosha kiazi sana aisee,badala aoe kwao kuna wasichana wazuri na disciplined kaenda kuoa jambazi,yaani unafoji documaa unaiba madola mengi hivyo?

Huyo kama alivyosema haoni hatari kumuwekea sumu jamaa
 
Halafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.

Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Unaweza kuta Huyo mwanamke hapo alipo hajaachwa kizembe, utakuta hapo mke wa Davis mosha ana nyumba za kupangisha dar, magari, na nyumba ya ghorofa, biashara mbalimbali na assets kama ardhi, ila utakuta mke hapo kwenye hio kesi anatafta ziada tu Nifah
 
Back
Top Bottom