Nenda zako huko banasoma docs hizo juu hapo vizuri kabisa
wachache wanaamka kina Mosha, wajinga bado wanapigwa na hao viumbeMwanamke ni mtegk m baya sana katika maisha ya mwanaume hapa duniani
Nina uhakika hata wewe hujasoma chochote haposoma docs hizo juu hapo vizuri kabisa
Nansi akadange pengineNenda zako huko bana
Hakuna kitu. Braza, nitafute mali in my entire life, nishindwe kuzilinda mpaka nichezewe na mwanamke niliyemuajiri just for 20 years?? Huyo ni mfanyakaz kama wafanya kaz wengine tuKama huyo Demu wa kaskazini watasumbua sana ,mwanamke alikuwa kweny biashara zake kwa miaka kama 20 .
Ngoma bado mbichi ,mapema inaonekana mwanamke kaleta tamaa ...Ila jamaa akae la sivyo ajiandae .
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Unamjua vizuri Nancy au ndo umemsoma leo hapa?Nansi akadange pengine
hakuna pesa ya bure
nimesoma docs zote, huyo mwanamke ni mwizi, jambazi linabidi liswekwe rumandeNina uhakika hata wewe hujasoma chochote hapo
Lipo Sawa, Mh. Msafiri yupo vizuri hana Shaka.Hili andiko la hii hukumu limekaa sawa kweli embu ngoja nianze upya tena kusoma
Shida mwanamke ni mwiziMfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20.
Majaji wetu hukumu kama hizi ni za ukandamizaji, mawakili tunaomba msaidie kama hii hukumu ni halali na mahakama zetu zinatoa haki nimeona uonevu mtupu humu Pesa imenunua haki.
Je hii ni sawa?
View attachment 2912748View attachment 2912749View attachment 2912750View attachment 2912751View attachment 2912752View attachment 2912753View attachment 2912754View attachment 2912755View attachment 2912756View attachment 2912757View attachment 2912758View attachment 2912759View attachment 2912760View attachment 2912761View attachment 2912762View attachment 2912763View attachment 2912764View attachment 2912765View attachment 2912766View attachment 2912767View attachment 2912768
Hebu funguka zaidi tuyajue hayo manyanyasoUnaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
simjui, lakini kwa docs hizo juu, huyo ni mdangaji na ni jambaziUnamjua vizuri Nancy au ndo umemsoma leo hapa?
Kutunga uongo ni manyanyaso pia ukiacha na mengi tunayo yajua.Mara katunga uongo mara kamnyanyasa daah
Tukubaliane na ukweli hata kama ulikua mke sio kigezo cha kuiba mali ya mumeo! The moment umeiba jua ume disqualify kuwa mke.
Unaelewa maana ya wizi? Wizi ni kuchukua mali bila idhini. Na huwezi sema kachukua wakati kaiba! Soma hukumu punguza mihemko.Nilikuwa nazungumzia utofauti kati yake na jackline mengi.
Hajaiba. Amechukua maana anastahili, amezifanyia kazi.
Hata nikifunguka haitasaidia chochote hapa maana mmeshaamua kuwa vichwa ngumu.Hebu funguka zaidi tuyajue hayo manyanyaso
Unaweza kuta Huyo mwanamke hapo alipo hajaachwa kizembe, utakuta hapo mke wa Davis mosha ana nyumba za kupangisha dar, magari, na nyumba ya ghorofa, biashara mbalimbali na assets kama ardhi, ila utakuta mke hapo kwenye hio kesi anatafta ziada tu NifahHalafu utasikia wasio na akili wanamuita huyo mwanamke mdangaji. Mwanamke ameshiriki kwenye biashara zake miaka 20 sio mchezo, tena kitengo ambacho ni uti wa mgongo wa biashara.
Kuachana kupo lakini apewe stahiki zake.
Nani ana mihemko kati yangu mimi na wewe? Kwamba kila hukumu inayoandikwa ipo sawa?Unaelewa maana ya wizi? Wizi ni kuchukua mali bila idhini. Na huwezi sema kachukua wakati kaiba! Soma hukumu punguza mihemko.