Swala ni anahusikaje unajua msiwe unatumia maneno ya uzito sehemu isiyo na uzito.Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?
Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.
Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...
Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
Hizo fikra za kijinsia kama zinekugusa then jua wewe pia una tatizo la kupenda kutetea jinsia badala ya character ya mtu.Uko bias sana mkuu kwa kifupi umeandika pumba kwa kuangalia jinsia yako hebu rudia tena kuandika
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Pia inashangaza inakuwaje anakop pesa zote hizo? Basi collateral ni mali za mumewe au akafoji kwa mali za mume.Mke alichukua USD 700K, USD 300K, USD 500K.
Na akachukua 1.5B
Na bado akawa anakopa.
Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Hebu elezea vizuri eneo la kuchuma pamoja mbona mnaliongea kirahisi sana hilo eneo eti kuchuma pamoja.Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
Kimya Kimya wanaume wanacheza kama pele, maana kwenye macho ya sheria wanabebwa sanaHakimi alitoa somo kubwa sana trust me, ni global impact tunaishuhudia sasa
Tena ashitakiwe na afilisiwe hizo mali zote.Mke alichukua USD 700K, USD 300K, USD 500K.
Na akachukua 1.5B
Na bado akawa anakopa.
Safi sana!Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."
Kama sio kweli, mtuhumiwa alitakiwa kusema sio kweli na kuonyesha ushahidi wake. Hakufanya hivyo
Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.
Hakuutaja, wewe umeujuaje wakati mtuhumiwa aliyeishi na mume miaka zaidi ya 20 hajaujua huo uongo.
Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.
Na bado unadai amemnyanyasa, mahakamani si ipo akafungue shauri la unyanyasaji? Na uko atumie utetezi wako wa nilinyanyaswa ndio maana nikaiba uone.
Unaremba wizi na ujangili wa ndoa kwa visingizio uchwara.
Walikua wake zake hao wote?Ilianza na Jackline, kisha Vicky, Na sasa Nancy duh
Shida ni kulikuwa na kizazi cha wanaume wanafiki sana hapa katikati wanaweza ona mwanamke anafanya ujinga au anazingua wao kazi kutetea na kukalia kimya madudu ya wanawake.Society inawafeva sana hawaviumbe wanaonekana kama ni delicate wasio na makosa, wanawake ni kama viumbe wengine tu, Wacha Sheria ichukue mkondo wake. Congrats Davis Mosha umeupiga kama Ashraf Hakimi[emoji1787]
Wanawake neno "Kunyanyasa" wanalitumia vibaya sana aisee.Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."
Kama sio kweli, mtuhumiwa alitakiwa kusema sio kweli na kuonyesha ushahidi wake. Hakufanya hivyo
Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.
Hakuutaja, wewe umeujuaje wakati mtuhumiwa aliyeishi na mume miaka zaidi ya 20 hajaujua huo uongo.
Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.
Na bado unadai amemnyanyasa, mahakamani si ipo akafungue shauri la unyanyasaji? Na uko atumie utetezi wako wa nilinyanyaswa ndio maana nikaiba uone.
Unaremba wizi na ujangili wa ndoa kwa visingizio uchwara.
Hii generation wataumia sana hakuna kufevana, wameyatimbaShida ni kulikuwa na kizazi cha wanaume wanafiki sana hapa katikati wanaweza ona mwanamke anafanya ujinga au anazingua wao kazi kutetea na kukalia kimya madudu ya wanawake.
Hiki kizazi kipya cha wanaume hakijalelewa na unafiki na ndio maana kama kuna mizinguo basi direct wanapewa makavu yao na kunyooshwa tu kama wakosaji wengine.
Sababu kubwa ni mke Malaya,ashafumaniwa sana na vijana wadogo. Issue ya kuachana walishaachana tangu mwaka juzi.Ukiona mwanamume anaamua kumwacha mke ujue kuna sababu ya msingi.
Issue ya Uchagga imekujaje? Inaelekea Wachagga wanakunyima sana rahaHapa JF mchagga hakosei Mkuu tegemea post zooote kumtetea Mosha! Over
Inabidi atupe mbinu. Haya majizi inabidi kuwa makiniUtajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.
Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.
Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin
Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.
Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.
Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya