DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ulishawahi kuona mfanyakazi anakopa million 500 kwa dhamana ya kampuni ambayo yeye kama mfanyakazi?

Huyo mwanamke kafanya utapeli ila bado ni mke halali ,pia ana uhalali kweny mali hizo.

Hayo makelele mpaka kuachan ni juzi hapa walishaishi miaka 20 ya amani ,msiangalie makosa ...

Mke anahusika moja kwa kweny mali zilizochumwq baada ya ndoa ,kuna hatua kubwa Mosha kapiga kubishara akiwa ndani ya ndoa,mke moja kwa moja anahusika kweny mafanikio hayo hata kama angekuwa mama wa nyumbani.
Swala ni anahusikaje unajua msiwe unatumia maneno ya uzito sehemu isiyo na uzito.

Sasa ilikuwaje anakopa bila mume wake kufahamu lolote million 500 sio hela ndogo ujue kuna watu wanafanya kazi miaka 50 na hawapati haya robo ya hiyo.
 
Uko bias sana mkuu kwa kifupi umeandika pumba kwa kuangalia jinsia yako hebu rudia tena kuandika

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hizo fikra za kijinsia kama zinekugusa then jua wewe pia una tatizo la kupenda kutetea jinsia badala ya character ya mtu.

Sasa mimi nitetee jinsia ili kupata nini? [emoji848]

Hapa nimeongea jambo kwa muktadha wa uhalisia na mambo yanavyokwenda.
 
Unaamini vipi kama alichosema ni kweli.
Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."

Kama sio kweli, mtuhumiwa alitakiwa kusema sio kweli na kuonyesha ushahidi wake. Hakufanya hivyo
Mosha ni katili. Ametunga uongo mwingi na kwasababu anapesa mnaamini kila anachosema.
Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.
Hakuutaja, wewe umeujuaje wakati mtuhumiwa aliyeishi na mume miaka zaidi ya 20 hajaujua huo uongo.
Na kama kweli mke ameiba mimi nampongeza maana amemnyanyasa sana dada wa watu.
Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.
Na bado unadai amemnyanyasa, mahakamani si ipo akafungue shauri la unyanyasaji? Na uko atumie utetezi wako wa nilinyanyaswa ndio maana nikaiba uone.

Unaremba wizi na ujangili wa ndoa kwa visingizio uchwara.
 
Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
Hebu elezea vizuri eneo la kuchuma pamoja mbona mnaliongea kirahisi sana hilo eneo eti kuchuma pamoja.

Kwamba wewe ulichumaje hadi zikapatikana kwahiyo asingekuwapo huyo mwanamke huyu mwamba asingekuwa billionaire si ndio? [emoji848]

Yaani unataka kunambia kuwa huyu mwanamke yupo entitled kwa mapato ya hiyo kampuni kwa asilimia ngapi?

Sasa basi na wafanyakazi wote kuanzia madereva, etc hebu nao waingie kati waanze kudai mgao wao pia.

Hapo unaambiwa mtu kaiba kwenye kampuni maana yake ameshakengeuka hatakiwi kupewa hata mia mbovu na anatakiwa kushitakiwa arudishe hizo pesa alizoiba.
 
Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."

Kama sio kweli, mtuhumiwa alitakiwa kusema sio kweli na kuonyesha ushahidi wake. Hakufanya hivyo

Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.
Hakuutaja, wewe umeujuaje wakati mtuhumiwa aliyeishi na mume miaka zaidi ya 20 hajaujua huo uongo.

Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.
Na bado unadai amemnyanyasa, mahakamani si ipo akafungue shauri la unyanyasaji? Na uko atumie utetezi wako wa nilinyanyaswa ndio maana nikaiba uone.

Unaremba wizi na ujangili wa ndoa kwa visingizio uchwara.
Safi sana!
 
Society inawafeva sana hawaviumbe wanaonekana kama ni delicate wasio na makosa, wanawake ni kama viumbe wengine tu, Wacha Sheria ichukue mkondo wake. Congrats Davis Mosha umeupiga kama Ashraf Hakimi[emoji1787]
Shida ni kulikuwa na kizazi cha wanaume wanafiki sana hapa katikati wanaweza ona mwanamke anafanya ujinga au anazingua wao kazi kutetea na kukalia kimya madudu ya wanawake.

Hiki kizazi kipya cha wanaume hakijalelewa na unafiki na ndio maana kama kuna mizinguo basi direct wanapewa makavu yao na kunyooshwa tu kama wakosaji wengine.
 
Wanawake wa KIAFRICA GO BACK TO THE ROOTS...acheni mambo ya kipuuzi ya Kuiga...Mke wa Mosha ametajwa kama Mwizi kwenye hiyo Hukumu..amekua akiibia mumewe huyu ni jambazi na mna tabia hizo kuiba na kufanya umalaya mkubwa mkiwa kwenye ndoa mkipigwa utosini mnakimbilia mitandaoni..Kama hutakua na adabu na mumeo utajua thamani yake siku akikutimua hakuna atakaekujali utalialia tu mwishowe huna la kufanya..Badilikeni maisha ya ujinga wanawake yanawamaliza na mnaumiza watoto wenu...

Wanawake wangapi wangependa kuolewa na Mosha??? Wako maelfu wewe ukabahatika unaleta usanii...
 
Tunaamini kwa sababu mtuhumiwa alisimama mahakamani akashindwa kujitetea au kupinga tuhuma zake zenye ushahidi kwa kisingizio cha "nilimpenda tuliishi nae miaka ..."

Kama sio kweli, mtuhumiwa alitakiwa kusema sio kweli na kuonyesha ushahidi wake. Hakufanya hivyo

Huyo mwanamke alitakiwa aseme huo uongo uliotungwa, either yeye au mwanasheria wake.
Hakuutaja, wewe umeujuaje wakati mtuhumiwa aliyeishi na mume miaka zaidi ya 20 hajaujua huo uongo.

Kwenye hukumu hajakana kuiba, hivyo kweli kaiba.
Na bado unadai amemnyanyasa, mahakamani si ipo akafungue shauri la unyanyasaji? Na uko atumie utetezi wako wa nilinyanyaswa ndio maana nikaiba uone.

Unaremba wizi na ujangili wa ndoa kwa visingizio uchwara.
Wanawake neno "Kunyanyasa" wanalitumia vibaya sana aisee.
 
Shida ni kulikuwa na kizazi cha wanaume wanafiki sana hapa katikati wanaweza ona mwanamke anafanya ujinga au anazingua wao kazi kutetea na kukalia kimya madudu ya wanawake.

Hiki kizazi kipya cha wanaume hakijalelewa na unafiki na ndio maana kama kuna mizinguo basi direct wanapewa makavu yao na kunyooshwa tu kama wakosaji wengine.
Hii generation wataumia sana hakuna kufevana, wameyatimba
 
Utajiri wa davis mosha ni mkubwa sana.

Nazani wakati anafunga ndoa biashara zake alizitenganisha na ndoa yake.

Davis Mosha akili nyingi sana yule mwanayanga mzee wa lamborgin

Pia kampuni ya delina mosha ameimiliki kabla hajafunga ndoa.

Mosha ameanza biashara ya usafirishaji toka miaka ya 1980s mwishoni.

Pia mwanamke mwenyewe mwizi wa mali za mumewe.. ukisoma hukumu utaona wizi alioufanya
Inabidi atupe mbinu. Haya majizi inabidi kuwa makini
 
Back
Top Bottom