DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni maajabu tumekusomesha kwa kodi zetu shule za Kingereza and still upo hapa unalalamikia Kingereza?

KWahiyo tulipoteza kodi zetu?

Tumekusomesha ukatusaidie ku-negotiate na wazungu huko mahakama za duniani wasituibie ardhi yetuand still unalalamika hapa?

Kwahiyo tumechoma hela zetu?

Hasara tupu
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]watu wa jf
 
Hakuna cha ndoa ndoano Hapana Ila kwa msiomjua Jamani huyu dada ni Malaya wa kupitiliza na Sisi wafanyakazi wake ndio tunamjua yani huyu mwanamke alikuwa na Bwana mganga wa Kienyeji Kwa Zaidi Ya miaka mitano na Ákampa mpaka Maduka kuendesha akamnunulia Magari yani huyu mganga ndio alikuwa na uwezo wa kufukuza mfanyakazi kama hamtaki na ilikuwa ikifika kipindi cha Ramadhani huyu mganga alikuwa anapelekewa mpaka futari yani kwenye moja ya ofisi za mme wake ambazo huyo Nancy Alimpa mganga Afanyie Biashara Bure na Ákampa mganga na Mtaji wa Mpesa na tigo Pesa na hadi Wakala bank zilikuwa zinasoma kampuni yeye akabadilisha Jina Ákampa mganga wake yani huyu a Nancy kamtesa sana huyu Baba Jamani ni vile tu wanaume huwa Hawaongei simu Ila Kateseka mno na haikuishia hapo mapenzi yakanoga mnooo yeye na mganga wake wa Kienyeji Wakapanga Wamuue baba wa watu Ila msamaria mwema akaenda Kusema Ila Mume wake hakumuuliza chochote Ila yeye alivyoshetani alivyojua vimesanuka ndio akaikimbia Nyumba na kwenda kuishi Adola guest na mganga wake huko Goba mbezi
Mmhhh ...
 
Davis alikuwa bwege kwa huyu Nancy Hadi watu wakawa wanasema kalogwa
Aliwahi kuja ofisini na huyo Nancy,mabinti wakawa wanamwonea wivu kupata mume kijana na tajiri,na anavyojua kunata Sasa[emoji108]
Usilolijua ni usiku wa kiza.
Theuro butterfly kwenye Moja na mbili za Mjini
 
Huyo Nancy ni tapeli kwanza hajawahi kuwa muhasibu miaka 20, Mfanyabiashara huyo alimpa biashara yake ubungo ya beurauDechange, Nancy Akapata mwanaume mkongo wakafilisi duka loote mnakumbuka jamani au mmesahau, Akapelekwa headquarter ndiyo akawa anaiba kwa kwenda mbele na wafanyakazi wanajua akatolewa toka 2017.
Akapewa maduka ya delina Supermarket yaliyokuwa kwenye vituo vya Mafuta, Akawa halipi kodi, PUMA wakamfukuza na mpaka leo anadaiwa Milioni 70 ya kodi, Mtaji wote kachukua Mitimingi ambaye ni Mpenzi wake ni mganga amekuwa naye zaidi ya miaka 5 na staff wote wanajua sio siri na hata mama yake Nancy anajua ndugu zake Nancy wanajua.

Na Ndio mipango ya kuua ikaanza na mtoto wao mkubwa anajua mipango ilivyokuwa Hao Mama yake Nancy, Mitimingi walimuonyesha Mtoto mkubwa kuwa baba yake Ana mtoto nje Mali zitachukuliwa, walivyo matahira wakamwambia Mtoto wa kwanza wa kiume Ni bora baba yako afe tubaki na Mali, wafanyakazi wanajua Sana Kila kitu, Mtoto wa kiume aliwadharau Kuanzia Siku Hiyo.

Hata jinsi aliiba na kuagiza pombe south Africa na alikuwa amemtumia dereva anaitwa Nico na pombe hiyo alikuja kuzulumiwa na ATU wa tegeta, alikuwa akipeleka Kwenye magodown walipokuwa wakishare Bwana, Huyo Nancy ni mbwa, Hatujui kama amemuacha Mangi salama alikuwa mchafu kuliko.
Balaaa
 
Le Mutuz angekuwa hai tungepata Stori kinaga ubaga[emoji1787][emoji1787]
Ila nachokiona mwanaume anajaribu kukazia mambo ya uzinzi na ushirikina ili amnyime mke mgao....Kama uzinzi Davis nae kazini sana nje na mtoto wa nje amezaa....
Pia ukiangalia Kwa ndani zaidi mwanaume bado anampenda mkewe, Ila mke kashikwa masikio.
28yrs ni mingi sanaa
 
Mheshimiwa Hakimu ameandika hivi:
" The NITTY GRITTY of the matter before me is SOMEHOW not hard to comprehensive. It all started when the petitioner and the respondent GOT ACQUAINTED TO EACH OTHER AFTER A LONG CHASE TRYING TO WIN THE OTHER'S HEART....they decided to surprised the UNIVERSE ....after comprehending that their affection did match and exceeded ONE ANOTHER TO THE HIGHEST DEGREE. The ANGEL OF BLESSING was on their side and bestowed UNTO them THEIR 3 cute children ( amewataja majina). The devil BEING DISGUISED with his CROCODILE smile couldn't let go of their marriage to DOOM by planting weeds in their BLOOM LOVE. He made the decision to hit them with a storm of life threatening ....." Hizi ni paragraph za mwanzo. Total gibberish.

Amandla...
Unajua mimi sijui kizungu kihivyo ila mwanzo sikujua kama ndo hukumu ya mahakama brooo...imekaa kienyeji sana
Nashukuru wenzetu mmeliona hilo
 
Hata kiingereza kinakushinda kusoma? Matrimonial asset sio lazima ipatikane katika ndoa. Kama walikuwa wanaishi katika nyumba iliyojengwa KABLA ya ndoa hiyo ni matrimonial asset. Huyu bwana mnamsifia kuwa ni tajiri sana, mnataka kutuambia kuwa utajiri wote aliupata KABLA ya ndoa na hakufanya investment yeyote kwa miaka 28 ( mnasahau kuwa mmetuambia alimuanzishia mke wake miradi ambayo hakuiendesha vizuri) ? Na hata kama ingekuwa hivyo, tafsiri ya Matrimonial asset ni kuwa kama alikuwa anaitumia kuchangia katika kuhudumia familia, hiyo ni Matrimonial asset.

Mnawaonea sana wanawake. Na kwa vile wengi hawajui haki zao basi mnaona kuwa ni haki yenu kuendelea kuwaonea.
Kutokana na juvenile nature ya swali lako, naona tumefikia tamati ya mjadala wetu. Nakutakia siku njema.

Amandla...
Wewe ni zero brain
 
Huyo hapo hana umwamba wowote Zaidi Ya Kuwa Maryooo tu hiyo Billion mbili yenyewe kutamka hawezi sababu hela zenyewe huyu mwanamke alikuwa anaiba anaenda anampa tu Eti nyumba ya Billion mbili na million Mia nne hivi huyu anafurahisha mnoo ndio huyo hapo mchepuko wa Nancy
Yani huyu mganga ni kumbafu kweli kweli yani nyumba kajengewa na mwanamke kwa kuiba hela kwa mosha halafu anajitapa kuwa nyumba kajenga mwenyewe...!
 
Okay, nitajaribu kwa mara ya mwisho. Sidhani kama inasema hivyo bali hivyo ndivyo mnavyotaka iseme. Na ndivyo wengi tunavyoamini. Kwa mfano hii dhana kuwa matrimonial assets ni mali zilizochumwa ndani ya ndoa. Hiyo sio kweli. Matrimonial assets ni mali zote zinazotumika kuhudumia familia bila kujali nani anazimilik. Kwa mfano. Kama wakati mnaoana kila mmoja alikuwa na nyumba yake lakini mkaamua muishi katika moja na nyingine muipangishe ili ziisaidie familia kiuchumi, zote ni matrimonial assets na zinaingia katika negotiations za mgawanyo wa mali.

Kingine, kinahusu michango katika assets za familia. Tuseme wote mlikuwa mmeajiriwa lakini mkakubaliana mmoja aache kazi ili atunze watoto na familia na mwingine aendelee na kazi ili aweze kuingizia familia mapato haiwezekani wakati wa talaka mkamuadhibu aliyeacha kazi ili ahudumie na mkamzawadia yule ambae aliondolewa mzigo wa kulea familia! hapo tunasahau vile vile kuwa mchango wa huyo aliyebaki nyumbani katika kuboresha mazingira ya makazi yao ndio yameongeza thamani yake. Hiyo haitakuwa haki na sheria inasimamia haki.

Na mwisho, inaelekea kuwa wengi wanaamini wanawake wote wanaoingia katika ndoa ni magolikipa na waliwakuta wenza wao wakiwa tayari wamefanikiwa kimaisha. Mara nyingi hii sio kweli hasa kwa wale ambao wanaoana wakiwa vijana. Mara nyingi mafanikio yote yanayopatikana yanatokana na mchango wao wote katika nafasi yao. Matajiri wengi wakubwa duniani (Gates, Buffet n.k) hawaoni aibu kukiri kuwa mafanikio yao yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na wake zao.

Kama sheria ya Tanzania ( mimi ni Fundi sio mwanasheria) inatafsiri matrimonial assets kama mnavyosema basi ni ushahidi mwingine kuwa bado tuko 1800s inapokuja haki za raia wetu. Lakini sitashangaa kama haisemi hivyo bali ni uvivu tu wa wanasheria na mahakama zetu ndio unaruhusu watu wafanye wanavyotaka katika kudhulumu haki za wenzao.

I am out.

Amandla...
"pesa nzuri ni yako, zingine zote zina malipo" Kama baba yako hakukufundisha hili dunia itakufunza.
 
Mke wa davis mosha kapewa nyumba na magari? Mnawaacha makapuku kisa hamkuwaoa. Mke wa mosha na ndoa yake bado kaachwa mtupu sembuse hao mnaowazalisha mijanaume mishenziii
Kwahiyo lengo la kuolewa ni ili uje upewe nyumba na gari? Kupewa sio vibya, lakini isiwe ndio motive ya kutaka ndoa na mtu.., kama unataka nyumba na gari kiuhakika fanya kazi upate pesa ukanunue gari lako..
 
Amezifanyia kazi Hela na wakati ameenda kumuhonga mganga wake maryooooo mganga kapewa hadi ofisi Bure mganga kapewa hadi mtaji mganga alikuwa na nguvu Ya kufukuza hadi wafanyakazi, mganga kahongwa hela kaenda kujenga ghorofa huko unataka Kusema Nini wewe, tena hii maada aliyeipost Humu aitoe tu maana Tukiamua kumdhalilisha huyo Nancy ni atahama huu mji yani maana hadi picha zake na mganga ninazo alizopiga hotelini yeye alivyokuwa anasaliti na mganga alijua ni sifa ehh sasa picha zake za hotelini tunazo mwambieni asiamshe vilivyolala
Kama kweli basi Nancy ni jasiri sana unalalaje na mganga kwa mfano?yaan witch doctor unalala naye haki hii dunia ina mengi.
 
Kama kweli basi Nancy ni jasiri sana unalalaje na mganga kwa mfano?yaan witch doctor unalala naye haki hii dunia ina mengi.
Tatizo la Nancy yeye na Mama yake walikuwa wanapenda mambo ya uganga, uchawi nk, ndo Maana Hata baba yake Nancy alikufa kwa umalaya wa mama yake na uganga.
Sasa Nancy Ile Hali ya uchawi bado anayo na anapenda Sana, So alimtafuta Mganga kwa ajili ya kupewa Dawa ya kuua au ya kumroga, so yeye alitembea na Mganga kwa ajili ya Hongo ya kuua, alihakikishiwa na Mganga atamtoa Mosha Busha NK....
Sasa Kama so uchawi Ni nini ujasiri Hadi wa Kukabidhi Hadi ofisi, Nancy alipata Tamaa ya kuua, kwa kutumia uganga kwa Tamaa ya mali.
 
Tatizo la Nancy yeye na Mama yake walikuwa wanapenda mambo ya uganga, uchawi nk, ndo Maana Hata baba yake Nancy alikufa kwa umalaya wa mama yake na uganga.
Sasa Nancy Ile Hali ya uchawi bado anayo na anapenda Sana, So alimtafuta Mganga kwa ajili ya kupewa Dawa ya kuua au ya kumroga, so yeye alitembea na Mganga kwa ajili ya Hongo ya kuua, alihakikishiwa na Mganga atamtoa Mosha Busha NK....
Sasa Kama so uchawi Ni nini ujasiri Hadi wa Kukabidhi Hadi ofisi, Nancy alipata Tamaa ya kuua, kwa kutumia uganga kwa Tamaa ya mali.
Mkuu una uhakika na hili ilicho andika...!?
 
Back
Top Bottom