gentleman πŸ’

hivi kweli mmeelewa hayo maelezo ya mahakama ndrugu zango, hata mshangilie kwamba ati mahali Fulani kuna ushindi?

halafu wengine ni wanasheria kabisa dah 🀣

nimefurahishwa sana mnaposema mahakama za Tanzania ni huru, na huo uhuru uwe hivyo hivyo na hata baada ya uamuzi utakao toka muda usio kua mrefu ujao, sawa, ndrugu zango ee πŸ’
 
Unafurahia Mahakama kuchezewa kijinga namna hii.
 
Baada ya zuio hili, DED Ngorongoro amesema taratibu za uchaguzi kama kawa
 
Too late, and of course, Mahakama haiwezi kuingilia discretion za executive katika kuweka boundaries. The case just serves academic purposes
 
Hao nduli wenye kutaka ardhi zetu hua hawakati tamaa na wamejaa hila na hadaa sana. Kwa kawaida wana washirika nchini na serikalini. Ndio maana 2025 lazima tupate kiongozi aina ya magufuli kuongoza nchi. Vinginevyo muelekeo wa ubeberu kote ni kumiliki ardhi ya afrika yote na waafrika kurudi kwenye ukoloni mkongwe upya.
 
Tengeneza tatizo, halafu kabla mambo hayajaharibika sana, litatue mwenyewe!

Wanajitekenya na kucheka wenyewe!
 
Mbona kama season inayoanzia katikati na kumaliza mwanzoni. Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…