Mahakama yazuia Vijiji vya Ngorongoro Kufutwa
Tunaijua hiyo.....
Kwahiyo sisi siio watu tulioko Ngorongoro kwa maana hiyo?
Sheria za Nchi hii tunaifahamu, mamlaka ya kutufutia vijiji na kata pamoja na huduma zetu Mmezitoa wapi,
Mnasema Tumehama kwa hiari, saw, ambao hatukuwa na hiarinya kuondoka mmetuoma Vinyago sio
 

Attachments

  • VID-20240822-WA0018.mp4
    5.6 MB
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
Ongeza sauti...
 
Watu wanapaswa kuelewa kuwa uwekezaji unaofanywa kwenye maeneo hayo ambayo wamasai wanayapigania ni Kwa ajili ya masrahi mapana ya nchi.

Hivyo hawana budi kuondoka,kilichofanyika hapa kwa huyo muombaji wa kusitisha agiza la serikali ni sawa na kutangulia safari ya mbali Kwa baiskeli ya mbao lazima tutakupita tu sisi wa nyuma tutakapo Anza safari na baiskeli zetu za chuma
Haupo Sawa kichwani
 
Huku habari jioni hii zikisema kwamba mkazi wa Ngorongoro Isaya Ole Posi amepata zuio mahakamani la KUZUIA WAMASAI wasiondolewe ngorongoro mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa, mkazi huyo amekana kufungua kesi na pia amekana kumfahamu wakili Njau ambae ndie wakili aliefungua kesi hiyo.

Isaya ameenda mbali na kusema atachukua HATUA kali kwakuwa jina lake limetumika bila idhini yake . Alipoulizwa haoni jambo hili ni jema sababu wameshinda na kupata zuio alisema haijalishi, hajafungua kesi yoyote na Hana kesi yoyote mahakamani.

Mapema wakili Peter Njau akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama kuu ya Arusha, alisema mteja wake alimwagiza kufungua kesi hiyo, na wakati wa kesi mawakili wa serikali walikuwepo na judge Mwenda alitoa amri hiyo mbele ya pande zote mbili. Kesi itakuja Tena mahakamani tarehe 26 September kusikiliza hoja za mkazi huyo Isaya Ole Posi ambae amekana kabisa kufungua kesi hiyo.
Hivi modes/moderator kwanini mmechanganya Uzi wangu na Uzi wangu ni tofauti kabisaa na huu?? Mbona basi hiyo habari nyinyi mumeitoa kwenye page yenu ya Instagram?? Acheni kuzingua...tutaacha kupost na kuanzisha Uzi sasa
 
Hii kitu ni fake.
Huyo anayetajwa kuifungua kesi amemkana wakili na amesema hajawahi kufungua kesi

Screenshot_20240822-224006.png
 
Hiyo kesi ni kiini macho!
Kule bado kwa moto... Leo wamehamishwa zaidi ya mia 3.
 

Jana nimeweka pdf la shahada nzima ya environmental conversation.

Build arguments kwanini eneo lazima liwe protected against human expansion na namna human activities destroys the ecology and symbiotic relations ya wanyama pori.

Get communication experts to divise a strategy which is on top of media misleading information (fake news) and counter arguing that information with facts.

Nchi inayoacha wapotoshaji wawe on top kwenye dunia ya information war, their view point will prevail.

Badala ya sababu kuwa kuondoa wamasai ni kuzuia expansion ya vijiji copy’s wanavyoanzisha na kupuguza nature reserves kila uchao. Story itakuwa ni kwa sababu Ngorongoro imeuzwa kwa Mwarabu na kuna madini serikali inataka ichimbe, haitaki kulipa fidia ya kuhamisha watu (wananchi ambao wameanzisha vijiji bila ya kibali cha serikali).

At times kama vile inabidi ukubali umaskini wa Africa kutokana na viongozi wetu it’s god fate, they can’t run a country ni mwendo wa tia-maji, tia-maji tu utaiva.

You have to be on top of information ambazo wananchi wanapewa on controversial government decisions.
 
Kauli aliyoiombea msamaha ROSTAM kesi itamalizwa kwa simu moja tu kutoka------ malizia
 
Historia ya hukumu mbalimbali ndani ya miaka hii 9 tangu aingie Jiwe na sasa Samia inajulikana.
Hivyo tusijisumbue
Hata before Jiwe !
Ni kwa vile tu Watanzania ni wasahaulifu sana !
Katiba mpya bora ni muhimu sana !
Mengine yote ni abracadabra tu za kisiasa !

Wanaoitwa wajanja wanacheza na Akili za watu tu !

Kila kibaya atasingiziwa Jiwe lakini Ukweli utabaki kuwa ni Ukweli tu !
Mapungufu yote yamo ndani ya Katiba ambayo ndio Sheria Mama ya Sheria zote ambazo baadhi yake ni Batilifu kama asemavyo Paskali nyakati nyingine !
Hata Supika msitahafu aliyesitahafishwa analijua hili !

Tuache kila kitu kibaya kuwa tunamsingizia Jiwe !

Kwa mujibu wa Katiba ule muhimili mmoja Mkuu uliojichimbia chini zaidi ndio Alfa na Omega katika Nchi !

Iko vile bandugu na itabaki kuwa vile mpaka itakapo patikana Katiba nyingine itakayoainisha nguvu hizo za kisheria vinginevyo !! 🙏🙌
 
Back
Top Bottom