digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Inawezekana ndiye kawapa ruhusa mahakama, kama njia ya kuchomokea katika hayo maamuzi halafu anachukua point 3 hadi kwa CDM kwa kuheshimu maamuziJe Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Shiiiii usimstue Bado anamalizia pilau la tamasha la KizimkaziJe Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Duh 🙄 !Au mtamtumia Mafwele kumteka
Je Hangaya ataheshimu Amri ya Mahakama?
Its getting interesting.Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August 22,2024 mbele ya Jaji Mwenda wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha katika kesi namba 59630 ya mwaka 2024 kufuatia maombi yaliyopelekwa Mahakamani na Mpeleka maombi Isaya Ole Posi ya kuiomba ipime na kutazama kama amri ile ilikuwa halali au la hasha au kama ilitolewa na Mtu mwenye Mamlaka ya kisheria kufanya hivyo.
Wakili wa kujitegemea Peter Njau akimuwakilisha Mteja wake Isaya Ole posi amesema Mteja wake alikuwa Mwathirika wa kuondolewa katika eneo hilo jambo ambalo aliamua kwenda Mahakamani kupinga kitendo hicho.
Soma Pia👇
Tundu Lissu: Samia aliwafutia Elimu, Afya na Maji, Mchengerwa (mkwe wake) kafuta kijiji kizima, amevunja Sheria
Kutoka kwenye mtandao wa X(tweeter), kaandika, Samia alisema Wamaasai wa Ngorongoro waondoke kwao kwa hiari. Baadae akawafutia elimu, afya & maji. Halafu Tume ya Uchaguzi ikawafutia haki za kupiga kura. Sasa mkwe wake amefuta vijiji & kata zao. Samia amevunja Sheria & Katiba. Tupinge azma yake...www.jamiiforums.com
Maendeleo apeleke kizimkazi kuanzia jambiani ,bwejuu hadi paje.Keshasema Mbwa mnabweka Sana kuzuia maendeleo, ngoja tuone hili rhumba itafika wapi?
Kuona uwepo wa haki inategemea na wewe umekaa angle ipi ,huenda serikali ikaona haki haijatendekaMahakama zikiachwa huru bila kuingiliwa na maamuzi ya watawala haki ingelikuwa inaonekana kutendeka na wananchi wangepaona ni mahali sahihi kupatia haki zao.
Mtamgukuza kazi,,unapata kigugumizi hadi kwenye kuandika ili utetee upuuzi na bado Mtapagawa mnooHuyo jaji tutamgukuza kazi
USSR
Mtu na mkwewe wanakula njama kuiuza ardhi ya wananchi masikiniMahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.