Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kumekuwepo na tuhuma nyingi kuhusu udhaifu wa mahakama ya Tanzania kwa miaka takribani nane sasa.
Jaji Mkuu aliyepo ameonyesha kushindwa kabisa kujitenga na matakwa ya serikali na hivyo kuifanya serikali iamini kwamba wao ni mabosi wa mahakama.
Mahakama imetuhumiwa kutotenda haki, imetuhumiwa na Rostam kubwa haiwezi kusimamia haki, imetuhumiwa na Waziri wa Ardhi kwamba wapo Majaji wasio na hadhi ya ujaji tena tuhuma hizi zikitolewa mbele ya bunge.
Tunaposhuhudia tuhuma kama hizi hakuna Sehemu Jaji Mkuu anaonekana kuwa na wivu na mahakama wala hakuna Sehemu kiongozi mkuu wa serikali anapokemea wasaidizi wake kuitisi mahakama.
Katika mkanganyiko huu naomba utusaidie kujadili kama tatizo ni mahakama imekufa au serikali imekosa mwelekeo?