Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

Ndugu yangu sijakuelewa....sijaona pahala pameandikwa mtu ahukumiwe kifungo cha maisha.....unazunguka huku na kule kukwepa kauli yako.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hujui kitu so endelea kukaa hapo hapo na hiyo sakramenti yako!.
 
Kwani mahakama huwa inawaita au mnajipeleka wenyewe mahakamani? Watu wenyewe majeuri acha mahakama iingilie kati.
 
Vyeti vyenyewe vya serikali wewe mdunde mkeo ndiyo utajua kama wapo active au laa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo mstari wa Saba wanaume wengi hawaachi wazazi wao, unakuta jitu zima lina miaka karibia 50 lakini anaendeshwa na wazazi wenye zaidi 70 wanampangia maisha [emoji23][emoji23][emoji23] unajiuliza huyu wajukuu zake atawafunsisha nini kama sio matope tu.
 
Duh

Ngoja mzee wa kataa ndoa aje achangie uzi huu

Ova
 

Hutaki Mahakama iingilie mambo yenu ila unataka ikibainika mtu kaoa nje afungwe maisha (Maana Mahakama ndiyo inayohusika na kutoa vifungo)[emoji28] kasheshe!
 
Wewe jidanganye tu. Sheikh au padri au mchungaji ambaye hana Kibali cha serikali haruhusiwi kufungisha ndoa
 
Hutaki Mahakama iingilie mambo yenu ila unataka ikibainika mtu kaoa nje afungwe maisha (Maana Mahakama ndiyo inayohusika na kutoa vifungo)[emoji28] kasheshe!
Si ndio hapo, full kijichanganya
 

Ndugu, kweli sheria huijui vizuri. Ndoa zote zinapaswa kutambuliwa na Serikali. Na kanisa linalofungisha ndoa ni lazima liwe kanisa lenye usajili kamili ulioidhinishwa na Serikali. Kanisa likifutiwa usajili hakuna shughuli yoyote mnaweza kuifanya hapo ikawa halali.
 
Sasa kifungo cha maisha si ndio kuwaingilia uko.

Malizaneni uko uko kanisani, mkichomana visu mahakama ndio inaingilia.
 
Upo vizuri lakini upo faster sana mkuu.
Kabla hujafikia hatua ya kumuacha mke Kwasababu ya uasherati, wakatoliki tutakaa na wewe kwanza tukukumbushe 'ili usamehewe unatakiwa usamehe pia'.

Lakini kizuri zaidi Mungu aliwapa wazee wetu ukomavu wa fikra na kukataa kufungamana na upande wowote yaani Kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni. Tanzania is Tanzania and it is free.

Hakuna kiongozi wa dini wala sheria ya kidini,siasa,ama utamaduni atakaye ruhusiwa kuikiuka Tanzania mahala ambapo utanzania unahitajika.

Wewe na taratibu za wakoloni wako tafuteni sehemu ingine sio Tz.




MAGUFULI4LIFE.
 
Hivi kuna sehem yeyote Kwnye biblia imeandikwa kwamba ndoa haivunjwi hadi kifo kiwatenganishe?


Maana YESU hakuoa wala kuwahi kuwa na mke sasa hizo sheria za ndoa aliziweka nani?
 
Umeenda weeeee halafu umerudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida inakuja hapa. Mtu anahangaika weeee ili aipate ndoa akishaipata anaanza kuichezea badala ya kuitunza yakitokea matokeo ya uchezeaji wake wa ndoa anaanza kutafuta pa kujifichia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikurupupe....umeshaona cheti cha ndoa kina nembo ya kanisa......ni nembo ya serikali, na muidhinishaji ndoano ni serikali...wachungaji, mapadri hao ni mawakala tuu...hawana mamlaka yeyote ya kuvunja ndoano.....serikali kupitia muhimili wa MAHAKAMA, ndio muidhinishaji na mvunjaji mkuu.....kapitie sheria za ndoa ....
 
Hivi kuna sehem yeyote Kwnye biblia imeandikwa kwamba ndoa haivunjwi hadi kifo kiwatenganishe?


Maana YESU hakuoa wala kuwahi kuwa na mke sasa hizo sheria za ndoa aliziweka nani?
Ni ndoa za sheria za makanisani sio maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…