Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

Unafahamu ndyeki wewe Bujibuji au wewe wa mjini

Hii ndyeki iliwamaliza watu wengi sana sana, Sitaki kuelezea huu ujinga wa watu wa Mbeya miaka hiyo

Wakati huo wa Ndyeki sisi wakinga tulikuwa wakulima hatujui hata biashara
Elezea kidogo kuhusu ndyeki tuielewe na tusirudie makosa yaliyofanywa na babu zetu,kuna watu wengi wanazaliwa mjini lakini wanafanya haya mambo kuliko wa vijijini,bwana Gussie tafadhali toa simulizi hiyo
 
Kuna mtu aliwahi kusema namba moja kwa kurogwa ni mkuu kabisa kwa sababu watu wanajipendekeza wapendwe,wateuliwe na mambo mengine,wanaofuata ni majaji na mahakimu maana kila mwenye kesi analoga ashinde kesi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah hii kiboko
 
Mwanangu usibishe aisee haya mambo yapo, mm nikiwa shahidi wa msingi kabisa wa kesi moja 2013 kila nikipanda kizimba nashindwa kuongea ....sitasahau
 
Wewe unaelewa Rozari au tasbihi ya kiislamu ni nini kwa akili yako? Manake inawezekana unajenga hoja kama mwamposa mwamposa
 
Mwanangu usibishe aisee haya mambo yapo, mm nikiwa shahidi wa msingi kabisa wa kesi moja 2013 kila nikipanda kizimba nashindwa kuongea ....sitasahau
Mbona mwakasege huwa hawamshughulikii kwa kuwawekea kiwingu? Very interesting
 
Kwa hubiri hili kama jamaa hajasarenda basi ana roho ngumu mno 🤗!.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
AtaKuwa alimdanganya ili asisogelee tunda, Huu nakumbuka Mkuu wa shule Miaka hyo, walifika Watu wa damu salama shuleni, Baada kipindi kupita akaja twambia eti wale maduu wakali ktk Ile shule wameathirika, wajuba wakanywea... Wabishii wakaendelea ikaja kugundulika ni uongo... Yule mistress alikuwa Konyo sana
Makaburini walipita msituni.kinacho muuma zaidi alimwambiaga mmewe kuwa rafiki yake ni mwathirika afu still akawafumania ndo maana aliamua kumwacha akaondoka na watot
 
We mkuu unasemaje?Wakati fulani nilienda field mahali nikakutana na mzee moja yule mzee ni Botanist by proffesion tena kasoma mpaka Germany kahudumu Kuanzia Nyerere mpaka kastaafu sio muda tu..Haya mambo mengi alituambia yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…