Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani

kesi za mirathi zimesababisha maeneo ya tandale,magomeni,na temeke kuwa na machizi wengi sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kesi ikishafika hukumu unafutaje sasa, ninyi hamjui hata procedure za kesi mahakamani.
 
Vichaa wengi mjini ni kesi za mirathi,ndugu wakisema tyuze nyuma we kubali tu,ukikataa unapewa uchizi tu
vichaa wengi ni wezi wa wake za watu na biashara za madawa. hata watu kama huyu anayetamba kwenda kwa waganga huwa wanakosea masharti afu dawa zinawarudi wanakuwa machizi fresh. ndugu ni vigumu sana kukuroga kwasababu ya mirathi,ugomvi mwingi wa mirathi huwa wanaua kabisa hawawezi kukuonea huruma uwe kichaa kwasababu hata ukiwa kichaa bado portion yako ya mirathi itakuwepo, si hujafa. huwa nawashangaa sana hata wanawake wanaongángánia mali baada ya waume zao kufariki, hawajui wazazi wa mume walihangaika namna gani kumsomesha na kumfikisha pale alipo. ukiona wazazi wanasema tugawane, we kubali yaishe, endelea na maisha yako, la sivyo huwa wanakudhuru wewe na hata watoto wako (wajukuu zao) mnaweza kupitia garama kubwa ambayo hamkupaswa kuiipitia.

all in all, uchawi dawa yake ni moja tu. Okoka, kimbilia kwa Yesu. ila nakuhakikishia ukijidanganya sijui unasali maria sijui lozari, utakungútwa na utakufa. Nimethibitisha katika maisha yangu kwamba Uchawi hauwezi kwa watu walio ndani ya Yesu Kristo, hauwezi kabisa na wengi wakiendelea kukufuatilia huwa yanawarudi. Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu. sasa utakuta kuna viwatu havina Mungu na vinategemea uchawi, uchawi na waganga wote wanamfuata shetani aliye baba wa uongo na mitego. unaweza kupigwa chale kwa mganga huyu mwenzako akaenda kwa mganga mkubwa zaidi ukafyatulia. shetani haaminiki, ila Yesu is the only one to be rusted. huu ni ushauri wa bure.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Sheria za utumishi zinawapendelea wenye uzoefu kazini, elimu kubwa, na wenye vyeo.

Halafu zinawapa kazi na majukumu mengi na magumu, wafanyakazi wa kada za chini huku wakilipwa kiduchu ukilinganisha na wa kada za juu.
 
Naomba unielekeze tofauti ya hakimu na jaji.
 
Maandalizi ya mtu kutapeliwa. Watu wataingia In box na watapigwa pesa kwa hiari yao.

Kesi ipo mahakamani wewe unaenda kuripoti polisi!!
 
Nyie wote kundi moja. Mmerusha ndoano mtawaliwa wajinga
 
Marehemu babu alinipa huu ujuzi ukiwa na kesi mahakamani na unataka kesi iishe......

Kila mmoja wetu anamfaham ndege aina ya mwewe...

Huyu ndege sometimes Huwa anatabia ya kubeba vijiti na kuruka navyo angani....Cha kufanya mvizie anapo angusha kile kijiti kiokote.....

Hatua ya pili tafuta mti unao itwa MZIMA

CHUKUA KIPANDE CHA MTI A + KPANDE CHA MTI B NENDA KAVILAZE JUU YA KABURI KWA MUDA WA SIKU 7

Baada ya siku 7 chukua kipande Cha mti A + kipande Cha mti B megua kidogo unaweza ukafunga kifundo kidogo tia mfukoni siku ya kesi mahakamani pia megua kipande Cha A na B tia mdomon....yaan kesi lazima ushinde.
 
Naomba mtambue kuwa kila eneo lina mtawala au mnyama anayesimama kwa niaba au niite madhabahu,na serikali sio/haiamini uchawi ila watu wake wanaamini.
Mfano jiulize mahakamani nyama Gani anahusika,benk,makanisani mg st something(altars),ukishajua hii Siri husumbuki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…