Mahakamani kuna siri gani? Niliwahi kwenda kwa Mganga wa Kienyeji ili Hakimu na mashahidi washindwe kuongea au kuzungumza Mahakamani


Baba endelea bana
 
NA wewe unaamini kwamba anaumwa? Kwanini shahidi wa 14 hayupo na haeleweki lini atakuja? Huoni kama hili jambo lipo so calculated? Bro acha kujidanganya, yeyote mwenye akili timamu anajua pale mahakamani kwa kesi ya Mbowe ni maelekezo, maigizo tu unless hufikirii vizuri (hili la kufikiria vizuri, sio ujumbe wako, ni kwa mtu anaedhani ili kitu ni kweli while maigizo ). Ujumbe wako kuhusu mambo ya kamati una ukweli kwa 100% but sio kwa issue hi ya Mbowe, again hivi unawajua maofisa wengi wa serikali? Wale hawalogegi, wanao wazee wao wanawalinda full time, usijidanganye eti unaweza waendea kwa waganga wale
 
Vipi hukupewa ile ya kuchanua kila msimu wa mvua habari ya kalonga na chitipa kwa babu yangu hio
 
Duh huyo dada alipigwa tigo😁
 
Daah kwamba salamu Maria na rozali unakun'gutwa na kufa

Unaushuhuda juu ya hili?
 
Ungefafanua zaidi ukishamjua uyo mnyama what's next?
 
Weweee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…