Mahakamani leo uligeuka uwanja wa huzuni na machozi

Wewe ni roboti linatemea umeme namanisha umezidi kiwango Cha upumbavu hata shetani hakufikii kabisa mkata viuno wewe
 
Sasa hapo nini cha kuhuzunika
 
Wewe ni roboti linatemea umeme namanisha umezidi kiwango Cha upumbavu hata shetani hakufikii kabisa mkata viuno wewe
punguza mihemko jukwaani gentleman, toa maoni yako huru dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.

huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani tofauti na hoja mahususi mezani πŸ’
 
punguza mihemko jukwaani gentleman, toa maoni yako huru dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.

huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani tofauti na hoja mahususi mezani πŸ’
Wewe NI zaidi ya juha yaani umemzidi shetani mbaliii Sana mkata viuno Bora Sana wa lumumba buku7fc
 
Inasikitisha sana
Uzuri ni kwamba Oktoba imetuamsha
Fikira zimeanza kubadilika
CCM itaondoka madarakani na haitorudi tena milele.
 
Huyo jamaa sio binadamu, nafikiri ni Yeriko Nyerere, anatumia ID ya Tlaatlaah
Tunamjua vyema Mimi NAISHIA kusema NI MWANA chadema wa zamani aliamua yeye kwa matakwa yake kujiondoa chadema sijajua hizi chuki kwa viongozi wa chadema zinatoka wapi wakati chadema hakufukuzwa?
 
Tumeanza kutafuta huruma eti
 
Hiyo ni mbinu mojawapo ya kujitetea.
Lissu anajua michezo ya Mahakamani

Utetezi wa Lissu ni common sense tu. Hakuna kesi hapo ... kama tungekuwa na Jury system kama USA wote tunajua kuwa Jury imemwichia huru .... ila kwa hawa Majaji wetu huwezi jua wataelekezwa nini. So far TISS inaangalia upepo wa ndani na nje na hukumu itatolewa kwa jinsi Maza atakavyoshauriwa. Period.
 
Laana ya kumpora mtu chama chake cha urithi itazidi kumtafuna.
 
Nilikuwa nataka kushangaa nisikute comment yako kwenye huu uzi
 
Nilikuwa nataka kushangaa nisikute comment yako kwenye huu uzi
Yes,
ongeza bidii kutafuta comments zangu kwenye hoja mahususi mbalimbali jukwaani ili hatimae uongeze uelewa na ufahamu wako katika masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi na itapendeza zaidi.

well done gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…