Mahakamani: Paul Makonda ambwaga Saed Kubenea

MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI

Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake.

====

Watafungwa Baba na Wajomba zenu ila siyo huyu hivyo acheni kupoteza muda na tutafute tu Hela.
Ipo siku atapatikana tu
 
Mama Samia hata sabaya anaonewa na genge la wauza madawa, wakwepa Kodi na wapenda ushoga.
Ana kesi za kisiasa tu Kama ilivyokuwa kwa mbowe, tunakuamini Sana sisi vijana
Dpp afute kesi yake please
bora chawa🕷️🕷️ umejitokeza kutoa michozi yako
 
MAKONDA AMBWAGA KUBENEA MAHAMANI

Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na mwanahabari Saed Kubenea dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake.

====

Watafungwa Baba na Wajomba zenu ila siyo huyu hivyo acheni kupoteza muda na tutafute tu Hela.

Kwani mtani ulijua atakuja kufungwa huyo?
 
Hapo nashika tu ushauri wa kutafuta hela ngoja niende zangu majita irugwa nikavue dagaa nipeleke zangu kiomboi kwa wala mlenda wabadili mboga, tukisubiri jamaa afungwe ni kupoteza muda
 
Ngosha ni mwamba hasa . Samia amtumie huyu jamaa kuvuna kanda ya ziwa
Atamuharibia zaidi na anaweza hata asipate Kura 1 huko Lake Zone. Mshaurini tu amteue kuwa Balozi au ampe Cheo chochote cha kumfanya awe mbali na Tanzania ili Maaduii zake wasije sasa wakaanza kukaa Vikao vyao vya Kimafia na wakammaliza mazima na akawa Historia Tanzania kama alivyo sasa Baba yake Mlezi aliyekuwa akimpa Jeuri.
 
Kisiasa🤣🤣

Huyo mpaka mamlaka ya uteuzi iamue.hata sabaya ingekuwa sio mamlaka ya uteuzi msingemuweza.
Msiwe mnakurupuka
 
Back
Top Bottom