Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kumbe suala ni kwamba hawezi kushtakiwa kwa kuwa tu yupo vizuri na Samia hata kama alifanya uhalifu?Wewe endelea kujifariji hamna lolote Makonda yuko na Samia vizuri! Mnachuki tu za kijanga na kipumbavu!
Uhalifu wa Makonda upo wazi kwa kila mtu hususan ule wa kwenda kuvamia clouds na mitutu ya bunduki. Hadi Magufuli aliwasuluhisha na Ruge.
Sema kesi kama hii ilitakiwa ifunguliwe na Jamhuri asingechomoka hata kwa ndumba maana serikali ina ushahidi wote sema bado muda tu wakuamua haujafika.