Mahakamani: Paul Makonda ambwaga Saed Kubenea

Huyu jamaaa nadhani anaonewa tu na wanaotafta kiki
Yale ni matawi ya CCM mpk CCM waelekeze

Ndo ujinga mnaoufanya na mwisho wa siku mnabaki Hanna lolote,kama mliyajua hayo kwa nn mlimshauri Kubenea aende kufungua kesi wakati mnajua hatoweza shinda?
 

Za chini chini jamaa anarudi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar,huyu wa kwenu makara kapoa sana haliwezi jiji!
 
Sasa kama atamharibia zaidi, amteue kuwa balozi ili akamharibie zaidi huko nje!!

Huyo amuache tu kama aliwafanyia walimwengu vibaya wamfunze adabu!!
 
Sasa kama atamharibia zaidi, amteue kuwa balozi ili akamharibie zaidi huko nje!!

Huyo amuache tu kama aliwafanyia walimwengu vibaya wamfunze adabu!!
Wewe endelea kujifariji hamna lolote Makonda yuko na Samia vizuri! Mnachuki tu za kijanga na kipumbavu!
 
Unapotosho baada ya kulipwa bei gani ?
 

Hiki usemacho ni kweli? Sina imani na mahakama hizi zilizokubali kuitumikia CCM, je habari yako ni ya kweli?
 
Huyu ni bwana wa mama haguswi
 
Mahakama za tz imefika Mahalia hata kama wanatoa huumu za haki, kwangu nishapoteza Iman nazo kabisa. Vituko nimeshuhudia vingiiii.
Kwako mahakama itakuwa imetenda haki pale tu unaposhinda kesi. Akili yako ya ajabu!
 
Leo ndio umethibitishia umma wa JF kwamba kichwa chako kimejaa fungus.

Mahakama ya kinondoni haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo hivyo Kubenea anatakiwa akafunguwe kesi hiyo kwenye mahakama sahihi kisheria.

Huu uchawa mtajikuta mnaolewa hapa mjini kwa kupenda bia za bure kwa hao mabwana zenu.
 
Tuliwambia humu haha

Ova
Na wewe umeingizwa mkenge na huyu JF comedian?

Mahakama ya kinondoni haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo hivyo Kubenea anapaswa kufunguwa kesi hiyo mahakama ya kisutu au mahakama kuu, mawakili wanaojitambuwa wanajuwa mahakama sahihi ni ipi.

Hata watuhumiwa wa muder case huwa wakifikishwa mahakama ya kisutu hakimu huwa anatowa tarehe tu na kusema mahakama yake haina uwezo wa kusikiliza kesi za mauwaji, kesi za mauwaji ni high Court kwa Jaji na siyo kwa hakimu.
 
Kwa hiyo ww na huyo kubenea akili hamna? Si mngeenda huko mahakama kuu
 
Safi sana
Bado maridhiano yanaendelea, Shart la Lisu kurudi ilikuwa lazima Serikali itoe tamko juu ya USALAMA wake. Hilo limefanyika.

Sharti lingine ni wahusika wa tukio Hilo wawe ndani Yeye akirudi home Ili case iwe inaendelea.

Kuna mkuu wa POLISI naye inabidi Aondoke kuondoa WINGU la hasira Kwa Damu ilomwagika Kwa watz wengi akiwa kiongozi.

Serikali itaridhia sharti Hilo, ingawa huyo konda ni kama ameshanusa JELA anatafuta hifadhi.

Bt kama Nchi, Maridhiano yanatakiwa, tuondoe ROHO ya visasi tuungane pamoja, tuishi tena kama ndugu ktk Nchi tuliopewa na Mungu. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…